@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #contentcreatorsightinsights Mr Mapanga na urithi? Hapana! 😂 Ameamua kusimama na msimamo wake kuhusu mali za urithi… wewe ungechukua au ungegoma? 🔥 #b#babahapumzikiT#TanzaniaViral
mkuu naona unaongea na jamaa ila unaogopa kumkwaza.
2026-09-02 16:23:20
31
Mpinga_aL Capone :
Tunaomjua huyu Iringa mjini weka like hapa...kazi na code 🙏
2026-09-02 15:54:51
58
mark magari :
Mzee upo sahihi cn
2026-09-02 16:23:12
11
Malcom :
Xx uko kutoka nyumbani mapema kote uko kumemfikisha wapi ?
2026-09-02 17:14:41
5
fundijrtv :
kocha wa yanga vp tena huku team si ipo botswana
2026-09-02 18:25:04
6
Lenatus Bahatikagoma :
sifanyi biashara nauza biashara ila Mr mapanga 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-02 16:52:13
7
Divine Grace Church :
Kisu hicho Sasa tafadhari
2026-09-02 17:25:16
3
gadaff125 :
uko sawa mjomba pambana tutafute misha yako👍
2026-09-02 18:17:14
2
officiallydidah :
Sasa kwanin nilikua namuogopa kumbe ni mtu poa tu
2026-09-02 21:38:25
1
DUNI LUGE :
nlikuwa namuogopa sana huyu jamaa kumbe mtu safi
2026-09-02 17:25:14
3
Nia J John :
good man.
2026-09-02 17:02:31
1
Baraka Shaibu :
huyu mwamba ana akili sana
2026-09-02 17:21:05
2
Paulo mugabe :
5 tena🤣🤣
2026-09-02 16:48:27
1
adolfsasita1111 :
mjomba uko sawa
2026-09-02 17:25:04
1
Jr05 :
mtu kashika silaha zote alafu anakwambia mbona hunielewi mamae nachanganya miguu🤣🤣
2026-09-02 20:03:50
1
Huba Bint Ngurumo :
Kweli Kabisa
2026-09-02 17:10:44
1
Nicky motors :
Kwa bahati inzuri
2026-09-02 17:15:29
1
BIG MSHUA ✌️ :
mbona unieleewi 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 17:42:28
1
Elisha Ndosi :
huko unakotaka mtoto aende wewe baba ukipelekwa utapaweza? baba anakufukuza nyumbani kabla ya kukuandalia pa kwenda halafu anaanza kukuambia nitumie pesa.
2026-09-02 20:13:16
1
Ester Saanane :
Asante babang vyaulithi nimeipenda iyoo
2026-09-02 17:13:34
3
kombojumamtawazo :
safi sana. mzee wewe ni kama mimi
2026-09-02 18:14:15
1
DEKAPOLI :
ukweli kabisa bro
2026-09-02 17:48:05
1
Dr. chif makata 🇹🇿. :
saaaf
2026-09-02 17:04:29
1
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm
homepage.