@tatianacakesbakery:

tatianacakes bakery
tatianacakes bakery
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 15:19:26 GMT
32391
1017
96
24

Music

Download

Comments

mamdogo__
Mamdogo_aunt🤩 :
ivi kuna Baker ambae hajawahi kutapeliwa na mteja wake anae muamini mi nilitengeneza cake ya send off nikaongezea hadi na ela yangu na sikulipwa hadi leo 😏 ila binadam
2026-09-03 04:39:33
14
merryombay
Merry Ombay :
Mimi Nilitapeliwa na Mteja Aliyenitafutia Oda Kwenye kamati ,80,000
2026-09-21 11:03:28
2
tiara_smartcakes
Tiara cakes moshi :
huruma na kuamini sana ndio hua inatuponza
2026-09-16 09:29:57
2
nusry.collection
nusry collection :
yani niki scro kidgo post moja ya 2 nakutna na post za cake na sina pesa 😂na birthday yangu imefk🤣🤣
2026-09-02 18:23:26
7
nusaybah1505
👑BOSS LADY👑 :
na ndivyo inavyokua,Rule no.1 usikopeshe,ukitaka kumfukuza mteja mkopeshe.. Rule no 2 usieke kujuana na mteja hata kama alishanunua kwako zaidi ya maramoja usikubali kumuamini kua atakumalizia siku nyngn kwa kigezo eti mnajuano,yooo apo inakula kwako.. Rule no.3 usiweke urafiki na mteja kias kwamba siku ukisema humpi anachokitaka unaanza kuonekana mbaya au eti unacustomer care mbov
2026-09-02 17:58:16
11
reminatha1
reminatha1 :
Nahitaji unifundishe
2026-09-03 15:45:55
0
dorah_daxh
Dorah Daxh :
Bei gan kma hii kpnz
2026-09-02 18:52:56
1
mis.cathy4
Mis.cathy❤️ :
una keki nzuri we dada🙌
2026-09-02 17:00:16
5
shitalwatts
shitalwatts :
asa the dear naomba kuuliza unatoa darasa kuhusu hio butter cream?
2026-09-09 13:21:09
0
sarahnyeriga1
Sarah Nyeriga :
Wateja wakishakula wanasahau,mi kuna mtu namdai hrla ya dagaa mpaka leo
2026-09-03 04:04:24
0
maggyandrew_
maggyandrew_ :
Namimi tangu 2024 😂🙌🏾
2026-09-02 19:18:36
0
reginatarimo840
Ginah cake 🎂 and collection :
pole mm pia nilitapeliwa laki ya cake ya harus acha tu
2026-09-08 17:26:13
0
stentematafu
Stente Matafu :
Yaani ndo ukweli pale unapoamua kumuamini mteja ndo unatumbukia
2026-09-03 06:01:29
1
deeh2091
It’s deeh🌹 :
Naomba chenga nile🫴🫴
2026-09-03 19:50:02
1
mariam.athman67
Mariam Athman :
mimi biharuc ana wtt 2 sijamaliziwa hela
2026-09-03 17:21:03
0
mr.bekarytz
mr.bekarytz :
2026-09-02 18:23:49
1
glorygerard2
Glory🦋🦋🌻 :
Naomba unijibu ili swali plzzz Nilipika cake ikatoka vizuri sana I mean ilichambuka vizuri,ila shida ilikuja pale cake nje imekauka sana naomba kujua nilikosea wapi
2026-09-19 17:53:35
0
ashampulu1
Da kijumbe :
pole jaman
2026-09-03 04:05:53
0
healingkitchen1
Marrie cakes &cookies :
Mimi tulikuwa tumezoeana sana nikamblock hatuongei adi leo alinikera sanaa
2026-09-03 07:17:15
0
dianadeliciouscakes
Diana delicious cakes ❤️ :
Haijalishi unamfahamu vipi 😂 umeiongea kwa hisia sana 😁,,
2026-09-02 17:55:53
4
maggie77804
Maggie..🥰 :
rangi Gani hiii jmn 🤲
2026-09-03 04:22:16
0
lee96285
lee :
ndo uvae pete muda wa kupamba cake😭😭😭😭 nmelia sana
2026-09-03 07:06:25
0
twinsmom462
twinsmom :
baada ya kumpa mtu cake bira malipo iyo ela huwez ipata
2026-09-11 14:41:42
0
ashuraudeke
Shuucakes & bites :
me mwenyewe ilinikuta hio jamani
2026-09-03 03:58:26
0
pretty_nayma
nayma cakes 🎂 :
Nchi ngp hio kwa sufuria
2026-09-14 15:13:30
0
To see more videos from user @tatianacakesbakery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About