nimezaliwa familia ya kikristo, nimesoma Sunday school mpaka Sasa Nina miaka 30, but nikaanza kusoma Quran tukufu Daaah nililia sana , niligundua mambo mengi sana nkamua kuslimu , Alhamdulillah a'la nai'matul Islam ALLAHU AKBAR ☝️Mimi ni muislam Sasa na mambo yangu mengi yamefunguk, kwanza nimepata Elimu ya kunijenga kiimani , Quran tukufu ni ufunuo wa mwisho wa Mwenyez Mungu na mtume Mohammad ni mtume wa mwisho wa Mwenyez Mungu, uislam ni njia ya uzima wa milele, Alhamdulillah, ALLAHU AKBAR ☝️👑
2026-09-03 10:32:55
70
raisi :
sasa kwa swala ilo ndo nije kuabudu sanam
2026-09-03 04:13:56
6
Ali Salum :
kwa ss tuliolelewa kwenye uislam acha karne ya saba mamazetu wanatwambia wameolewa miaka tisa KUMI juzi tu apa
Uislam ni njia bora ya kumtambua mungu a kuijua Dunia brother wote tulikua wa kristo lkn akuna chochote kumjua mungu wala ukweli wa ulimwengu Uislam ni bora brother
2026-09-03 18:21:02
7
JELLA :
mtume aliishi kwa maelekezo ya mungu alikuwa hafanyi jambo bila mungu kumletea wahai
2026-09-03 21:38:07
1
Bushido ⚛ :
ukweli tupu
2026-09-03 02:12:31
19
coman-msafi :
bac apo tukiwajibu wanakasilika sisi waislam tunajibu la kila swali na maswali yetu hayana majibu
2026-09-02 20:47:00
4
mavogadrillper222 :
ila hakuna sehemu kwenye biblia iloandika kua ukristo ni dini
2026-09-08 18:57:32
0
Lambick Manda :
mimi ni mwana sheria wa Aisha, mteja wangu anasema hakuridhia kabisa
2026-09-11 14:17:08
13
Genius NaGa :
kwani Adam alimuowa Hawa akiwa na umri Gan
2026-09-13 03:14:09
0
the frame :
UZURI ALLAH🙏 YUPO IPO SIKU UTALIJUA WALA SIO MBALI KWAN YEYE ACHELEW WALA HAWAI🙏🙏🙏
2026-09-11 12:20:05
0
Dianathedresmaker :
wanakuskia. endelea kupanda mbegu hii ya uzima. trust me hii imeenda
2026-09-02 18:19:24
15
bobi :
waislam wa kileo wamekua wakitetea kua zaman wanawake walikua wakikua haraka lakin zipo hadith zinaonyesha aisha alikua akinenepeshwa na mzazi wake kwaajil ya baba wa ugaid ref Aisha رضي الله عنها alisema:
“Mama yangu alikusudia kuninenepesha kwa ajili ya kuingia kwangu kwa Mtume wa Allah ﷺ. Lakini sikunenepa kwa chochote alichokuwa akitaka, mpaka akanilisha matango (qiththā’) pamoja na tende mbichi (rutab). Hapo nikapata uzito/nikanenepa vizuri sana.” chanzo Sunan Abi Dawud 3903
2026-09-03 07:02:33
5
💜Rafflyne 105💜 :
YESU kristo ndie njia kweli na uzima
2026-09-06 18:23:15
6
Mv Tz :
Yesu ndy njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa kumwamini Yesu kama mwana pekee wa Mungu aliyekuja kuishi na kufa na kufufuka na yupo hai ameketi mkono wa kuume wa baba..
2026-09-06 20:00:20
5
Mwanafunzi wa allah :
Asante mtumishi kwa elimu ya kiimani broo Amka mungu akubariki
2026-09-02 17:47:04
5
Robati Petro :
tumsifu mungu aliejuu
2026-09-04 18:48:27
1
DALALI_MADEVU :
kweli kabisa
2026-09-05 05:35:52
1
mapene :
:imeandikwa alaniwe amtegeae mwanadamu. huu msali unaniacha njia panda. mana wa africa tunawategemea wazungu nk. kwani nasisi tumelaniwa?
2026-09-04 07:03:38
0
miaonefkk | UI/UX Designer :
Na ww nikuulize swali moja je ukisoma Luka 1:26 inasema mwezi wa 6 Malaika Gabriel alimshukia Maria na kumpa wito wa Wa kuwa atapata ujauzito wa Yesu, sasa nikuulize swali je Mfano Christmas ni uzao wa Yesu? Je mfumo wa kusali na kuabudu ni kwa maelezo gani? Tuwe nakini
2026-09-03 11:18:50
4
S.Khan jr52 :
mdogo kwako,tuh bro kwa mtume hakua mtoto
2026-09-08 19:02:52
0
Justine :
aisha alikuwa na umri gani kwani?
2026-09-02 21:30:59
2
Dullahx22 :
Hamn k2 hapo analinganish zama za miaka ile na sas ivi nitofaut sanaaa
2026-09-02 23:32:05
2
Sam :
Duh inasikitisha sana😳
2026-11-05 15:59:12
2
classic boy :
ukwelii usemwe ila kwa eshima
2026-09-04 05:31:01
2
To see more videos from user @amkainuka, please go to the Tikwm
homepage.