Zama itakapo kujieni nusra ya Mwenyezi Mungu na ushindi
Utawaona watu wanaingia katika dini ya Allah makundi kwa makundi
Basi msabihini mola wenu na mumtake msamaha. Hakika yy n mwingi wa kukubali toba
suratu انصر
2026-09-03 12:10:42
30
Dotto bike :
like that maashaa Allah
2026-09-03 09:49:56
1
Pwani Cuty🥰🥰 :
Me Nasema Mashaallah Kwasababu Paka Wamefikia Hatua Hiyo Ni Hatua nzuri
2026-09-03 15:15:23
15
user5692717461232 :
sasa nepal mnaenda kupatabaraka za mwenyezi mungu ishahlh mungu atawaondolea tafifu sema amina
2026-09-03 08:52:53
14
Mr macha,, :
good job wote waone hii
2026-09-03 08:29:36
2
Naser75 :
Allahu Akbar
2026-09-03 01:07:24
8
Domiano Kobia :
kila mtu dunian aseme yesu ni bwana kwa araka ok guyss
2026-09-03 16:18:32
3
zeinasalim692 :
takibili
2026-09-03 15:39:25
1
Riri white :
baada kuona ukweli kuwa uislam ni dini ya haki🤲
2026-09-04 05:38:40
3
husseinmtende :
ukweli utabainika 2 hakuna dili inayo kubalika mbele ya Allah isipokuwa Uislam
2026-09-04 03:19:28
2
jasmine Ramadhani :
Alhamdullilah Alhamdullilah
2026-09-03 03:54:16
5
user1760353782203 :
dalili za kiama
2026-09-03 18:30:36
2
muddyguy295 :
allah akbar
2026-09-03 06:56:47
2
kadabra💦🍒 :
Ibrahim
2026-09-03 13:03:59
2
Sham Mohamed :
Allah akbar
2026-09-03 06:56:02
2
🦋🦋Aysha🦋🦋 :
Allahu akbar
2026-09-03 05:34:18
2
MUSSA KILIMO :
wamekubali
2026-09-03 10:44:30
1
To see more videos from user @urahojr, please go to the Tikwm
homepage.