@.junior_kijanawamwingira: KUSANYIKO LA MWAKA HUU NI LA TOFAUTI KABISA! Kusanyiko la mwaka huu ni la kipekee, kwa sababu litahusika na ukombozi katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu: Ukombozi katika ndoa zetu Ukombozi katika biashara zetu Ukombozi katika vipato vyetu Ukombozi katika ibada zetu Ukombozi katika familia zetu na kizazi chetu Na zaidi, ukombozi wa ndugu na jamaa zetu ambao bado hawajaingia na kusikia habari ya umilele. Hili si kusanyiko la kawaida. Ni wakati wa Mungu kuleta ukombozi na kurejesha kile kilichopotea. Usikose Kusanyiko la Mwaka 2026! Mwalike ndugu, rafiki na jamaa yako. Mapenzi ya Mungu, Ukombozi Wangu! #MapenziYaMunguUkomboziWangu #Kusanyiko2026 #EfathaTV #TheYearOfDoingGodsWill #WeBringTheWorldToJesus