@elimunibahari: Tasa na mgumba #zanzibar🇹🇿 #fypシ゚viral #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ

elimu.bahari
elimu.bahari
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 15:48:37 GMT
7133
615
29
14

Music

Download

Comments

yozie_89s
Yozie :
tunaenjoy na darasa
2026-09-02 18:06:40
4
ochieng8169
Ochieng :
asante sana kwa mafundisho
2026-09-02 17:30:09
2
mwanziandana
mwandan :
Asante sana kwa mafunzo 🥰
2026-10-23 04:21:41
0
user1292269373258
tembee :
Asante Kwa mafundisho.Na mwanaume asiyeweza kupachika mimba huitwaje?
2026-10-26 19:25:22
0
odhisrands1
OdhisRands :
je mseja na mjane ina maana sawa
2026-09-28 14:09:21
0
zanzibarsailer
Zanzibarsailor :
asante
2026-10-16 05:39:08
0
moggio61
Moggio :
Na mwanamke aliyekomaa na hajaolewa anaitwaje
2026-09-02 23:03:39
1
peter.d.chondo
Peter D Chondo% :
Kaka, Tunaomba utuambie na bikra wa kiume🤣🤣🤣 anaitwaje Kwa kiswahili sahihi,........ Na Kuna tofauti gani kati ya SAHIHI na SANIFU. #asiyejuamaanahaambiwimaana🔥🔥🔥
2026-09-02 16:01:58
0
pele4188
PELE :
nashukuru Sana kukujua maana nimejifunza mengi sana kutokana na content yako♥️
2026-09-09 13:35:12
1
juwarid01
juwarid :
mwari na kigori sawa
2026-09-03 04:38:47
0
nadhirah406
African cute❤️ :
namsimbee nimtu gani
2026-09-02 15:54:42
1
d565995
D :
na msungo
2026-09-02 17:23:18
1
user1598663540949
petergitau :
Nauliza kama kinyumba ndie kimada ?
2026-09-21 17:11:17
0
chachakihura6
user1997052983243 :
na mwanaume aliyefiwa na mkewe huitwaje?
2026-10-25 05:11:21
0
waltermutende00
waltermutende00 :
nilidhani gumba ni mwanaume asieweza kuzalisha na tasa ni mwanamke hapo umenijuza lakini mwanaume ataitwaje?
2026-09-04 14:06:43
1
holinsheet
Hoo Lee Sheet :
mkaza baharia ni .........
2026-09-10 19:49:24
0
user9026705325761
user9026705325761 :
mgane ni mume aliefiliwa na mke
2026-10-02 14:22:53
0
j.of.k
juice jay@ :
na msimbe
2026-09-02 16:12:18
0
theancestorshub
THE ANCESTORS :
@alikauleni @TJ Wise 💡
2026-09-04 18:06:42
1
ms.kweyu
Pendo :
@Swahili with Mariana
2026-09-02 19:15:14
2
To see more videos from user @elimunibahari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About