@biliya_jr: Dotto magari akizungumza mbele ya waziri wa mambo ya ndani protaus katambi baada tu ya kumalizika kwa kikao kilichowahusisha wasanii na mana mitindo hao, Hata hivyo hajasahau kuwasalimia wasomi kama kawaida ake @biliya_jr #trendingvideos #tanzaniatictok?😘? #viral #kenyatictok
biliya_jr
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 15:50:10 GMT
Music
Download
Comments
Jane💥 :
ila dott😂😂😂😂
2026-09-03 13:16:19
0
Family 😄 :
wasomi hiiii
2026-09-03 13:43:11
0
issa msese tz :
doto na bodgard wake apo nyuma😄
2026-09-03 06:06:12
6
scotty_wanaman :
Maajabu Ajaomba elaa kwa waziri 😂
2026-09-02 20:46:27
7
user6253002840066 :
umekosea k2 kimoja2
2026-09-03 06:14:37
2
$nug digo! :
maadili gani 🤣 au wafunge TIKTOK 🤭
2026-09-03 08:00:02
2
sure boy :
achelewi kutaka kuokota kwa wazir
2026-09-03 08:59:24
4
Tuku abeli :
chid weka usijizuie
2026-09-02 22:32:43
0
Martin Majaliwa :
ila mumemuona chid
2026-09-02 20:06:14
4
MSELA KUACHWA :
WASOMI HAIII
2026-09-03 04:07:26
3
HAFEZ :
Ko mkisalimiwa ivo mnaitikiaje 😳😳
2026-09-02 22:01:57
2
Nasri Nenga :
mmmh
2026-09-03 22:08:28
0
mgodo jr :
sasa mama anainguaje apo
2026-09-03 16:15:34
0
golden mgaya :
nakukubali doto
2026-09-03 15:03:11
0
mendeleev's :
mashaallah
2026-09-03 10:09:21
0
mc komba :
damu ya Yesu
2026-09-03 07:43:38
0
user8081697501745 :
wasomi mtakoma
2026-09-02 17:59:19
6
Avitus Kaijage :
uchawa ad kwa wazili dot una baya
2026-09-03 05:10:52
1
KUGA :
okoteshaaaaa😂😅 kwan yeye hana hela wazir😳😳😳
2026-09-03 03:51:56
1
Møùxïnį Børnä les kïñgë :
Damu yayesu tena 😂😂😂😂
2026-09-03 14:15:29
0
wafujo :
kwan doto magar nae msanii wa nini
2026-09-03 16:16:57
0
omega :
😂😂😂😂😂😆😆😆😆😅😅wee jau
2026-09-03 11:14:51
0
Steve mapice :
chid benz cheka tu😅😆😁😁
2026-09-03 16:59:10
0
tendeni ibada :
kuna k2 ume koseyaa
2026-09-02 18:21:21
1
To see more videos from user @biliya_jr, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.