@simukitaa: Who Will Survive 72hrs? (EP 7).. je! Unadhani Ni Nani Ataibuka Kidedea Na Kuondoka Na 1,500,000 ? Wameanza 10 Na Ni Washiriki watano tu watakao ingia Kwenye Jumba La Maajabu unadhani Ni Nani Na Nani? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori NB; IPHONE 17 PRO MAX SHOT IT NA SAUTI NI YA HOLLY LAND MIC #whowillsurvive72hrs #iphone18
Simukitaa
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 15:50:23 GMT
Music
Download
Comments
KIM :
TANZANIA SGUID GAME 🔥🔥🔥
2026-09-03 09:27:29
0
Mr anything :
squid game in Bongo
2026-09-02 16:11:45
0
MTZ :
Na sisi watamazamn akuna zawad😁😁😁
2026-09-02 15:54:20
14
cutegirl :
challenge ngumu jamn
2026-09-02 16:00:08
28
mashoto :
hizi challenge😀😀😀🙌🙌🙌
2026-09-02 16:55:58
0
Delicious 😋 :
so easy
2026-09-02 16:56:32
0
TeeVah 🌹 :
mwenye tisheti nyeusi nipo na yeye adi apate laki tatu😁
2026-09-02 16:26:15
2
jasade :
walete kati 😁duh hii yasafalihii siyo poa mwanzoni kabisa kumenoga ngoja nikae vzr 😁
2026-09-02 16:16:12
4
KING 🤴 ... :
😂😂😂 Hii 1.5m Itawapa Raia Ukichaa
2026-09-02 16:21:41
1
Mdachi_♐ :
Yani mmekamata watu walofungia whatsapp channel yenu na mnataka muwape na ela😂😂
2026-09-02 16:09:21
0
Areum :
Huyo alovaa tishet nyeusi kakata tamaa alifika hadi kwenye mlango akarudi😂😂
2026-09-02 16:07:30
0
Prince leo :
KWANI Leo siku yangapi😁
2026-09-02 16:22:23
0
Mam💕alicy21 :
Duuh mung tusaidie Tim evac🥰
2026-09-02 16:02:31
0
baba Rashid :
daaah gumuu kwel
2026-09-02 16:22:41
0
its _jovin_TZ 🤓 :
Creativity kubwa
2026-09-02 16:10:47
0
Ristbayser_official :
mnatunyima uhondo tu
2026-09-02 16:14:18
0
kahaka :
kuchanganya akil za watu tu
me ningeondoka kwa hasra😁😁
2026-09-02 16:03:59
1
grelima :
mnanifanya niwe napita kweny page yen kila dk
2026-09-02 15:54:59
0
mimi270319 :
Mchaga wangu 😂😂😂
2026-09-02 17:09:35
1
Gian Mom :
jmni muendelezo msicheleweshe
2026-09-02 16:38:56
1
Breezybabylon :
Mwanakitaaa Mbna unatuchelewessha uhondo 😂
2026-09-02 16:18:16
3
ma mzuri❤ :
Kikubwa kuwa na bando😁
2026-09-02 16:01:47
0
Roja smart 🇹🇿 :
wanawake nguvu Moja mshidi ata kuwa mwanamke nipo pamoja naho adi mwesho
2026-09-02 17:37:39
1
morensy@12 :
kuna vocha zet hapaooo😅
2026-09-02 15:55:17
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.