kumbe sakho alichezaga pamoja na Enock innong🤔🤔🤔 kweli siku zinaenda🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
2026-09-05 08:49:20
12
Daniel John :
kila nikiangilia kikosi ni kile kilichokosa ubigwa 😭😭 hata unishawishi vp siwezi kuendelea kuangalia
2026-09-03 07:31:51
8
queen smile🌹 :
yaaan uo utam unafkili live jamannnnn
2026-09-03 08:28:26
6
salome :
sema simba hiii ilikuwa tam
2026-09-03 15:27:32
4
Yusuphmonii :
2026-09-08 09:03:33
0
@evadeus :
hiki kilipindi cha hii simba nilikuwa kwenye dimbwi kumbwa la mapenzi sikuijali hii simba.ila kw sas bola iniumize simba kuliko mapenzi nimejifunza pa kumbwa mno
2026-09-03 18:31:54
5
dewran cyrene :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️simba
2026-09-03 07:22:44
3
Jamali Salimu :
me naipenda simba milele
2026-09-04 15:46:50
2
Mr• Ramadhan :
sako na. bwalia good. boy is
2026-09-06 06:22:26
1
usermaryfatty khan :
natamani Kibu na Sakho warudi jaman dah
2026-09-03 21:38:46
1
lamine aman :
mnyama nd mwenye nchiiiiiii 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
2026-09-03 17:53:05
1
ANNUARI IBRAHIM :
hakuna offside angalia wakat pas inapigwa mfungaj alikuwa wa
2026-09-09 08:08:07
0
phyniecsdaniely :
hii Simba iliendaga wapi
2026-09-05 09:47:25
1
user2947551493397 :
ila hatuna watu wanaoweza kujituma kama akina sako, miqson na wengineo
2026-09-08 23:46:08
0
user4688140088544 :
vp wadau
2026-09-04 08:10:53
0
CHANKY 45 :
walijutaaaaaaaaaaaaaaaaah
2026-09-03 16:41:37
0
ignasho :
dah sakho😟
2026-09-05 07:54:56
0
Ahmadi Namkomeka :
simba nguvu mojaaa
2026-09-05 04:11:07
0
Taimu :
ila kibu alikua mtu
2026-09-10 01:02:48
0
mariamadam6340 :
hamna ofsaidi apo
2026-09-07 12:02:41
0
Hass_dady_TZ. :
nzuri sana
2026-09-05 10:45:14
0
jagwa man :
simba yang dam yang
2026-09-05 14:43:16
0
alex :
tamu sana
2026-09-03 22:40:11
0
To see more videos from user @simba.spo, please go to the Tikwm
homepage.