@j60_channel_tz: mhhh tumuelewe nani #tanzaniatiktok #tanzania

J60 CHANNEL tz
J60 CHANNEL tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:11:13 GMT
46739
1866
45
15

Music

Download

Comments

rynvyl
rynvyl :
ukikaa ukamsikiliza vizuri utagundua anapoint sana❤️😂
2026-09-02 17:12:49
67
thuwa.rako
Jacinta :
mtu kama mm namuelewa sana huyu dada sikuhizi hatuvumilii tena tumechoka
2026-09-03 06:44:24
23
sheynah.harris
Sheynah harris🦋❤️ :
Tumechokaaaaa
2026-09-03 12:43:56
2
user28276605500665
user28276605500665 :
namuelewa huyu dada
2026-09-02 18:20:20
9
fatumajafari463
kababy fetete💫👌 :
dada uliumia kwerii dada unahaki
2026-09-02 16:52:44
9
purple_cosmetics0
Purple :
mm hapa nimemuelewa
2026-09-02 19:57:04
3
martharamadhan80
martharamadhan80 :
kwakweli dada angu kwenye kikao kijacho ww ndio mwenyekiti😂😂😂😂
2026-09-03 10:54:59
6
emmyvalentine825
emmyvalentine825 :
safiii yaani wewe chanuo ndio mm kabisaa mm hata huyo mume wa kuvumilia sitakiiiii
2026-09-04 10:09:42
1
vio.nadia
vio nadia :
nakuunga mkono dada
2026-09-03 18:02:34
2
farida_outifts
farida_outifts :
hata mm siwezi Kwakweli
2026-09-02 17:17:15
5
mirrykhan75
Mirrykhan💕 :
Nampenda chanuo
2026-09-02 17:06:07
3
mwaka.hamiss
mwaka hamiss :
kun vitu vinauma jmn pole chanuo
2026-09-02 17:49:50
3
user68186990317565
theodora james :
ila mimi nakuelewa
2026-09-03 11:19:11
2
jenipha2068
Jenipha :
Sawa inauma lakini mwanaume ambae hana michepuko utampata wap?
2026-09-02 20:11:32
4
hey.chockie
hey.chockie :
Safi sana 😂🔥❤️
2026-09-03 16:42:02
1
lily.melele
Lily melele :
ila kama uxhawah ixhi kwenye ndoa lazima utamuelewa chanuo me nakuelewa xana
2026-09-03 19:44:12
1
mama.honey33
Mama honey :
Sikulaumu😂😂🙌
2026-09-03 06:31:26
3
sheynah.harris
Sheynah harris🦋❤️ :
Nipo pamoja na chanuooooo 😂😂😂😂
2026-09-03 12:44:10
8
pheymic1
phey mic :
Yuko sahihi chanuo hakuna kuvumilia mtu kwenye shida, akipata anaenjoy na wengine
2026-09-03 07:01:01
5
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
umeongea point sana mmy
2026-09-02 19:39:36
5
mariam.sadick48
Mariam Sadick :
Umenenaaa dadaa 👍👍👍
2026-09-02 16:44:35
7
dinahmlughadiuzyvoice
shaylath :
hapo uko sawa dada
2026-09-03 13:51:18
2
jennychogo
JENNY CHOGO♥️🍂 :
Wenye akili timamu tu ndio tunakuelewa
2026-09-02 17:18:20
6
deborahmapunda
BabayaPapupa :
Apewe ulinzi.ni.kweli ushauri na maarifa utoe wewe akifanikiwa anakuja Kula na michepuko🤣 uliona wap
2026-09-03 11:50:26
4
pure_soul128
P&D💦 :
chanuo upo sahihi
2026-09-03 13:35:25
3
To see more videos from user @j60_channel_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About