@galaxyfmtz: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa kusimamia suala la Wafanyabiashara Wadogo Wadogo ‘Machinga’, akisema wameanza kurejea kwa kasi katika maeneo ya Wafanyabiashara wakubwa. “Kuna masuala ya Wafanyabiashara Wadogo Wadogo, tulikuwa tunayasimamia vizuri sana, lakini sasa hivi tumekuwa tume-relax, hasa katika Majiji ya Mwanza, Dar es salaam, Arusha, Mbeya na Dodoma.” #galaxyfmradio #947moshi
Galaxy Fm Radio
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:14:32 GMT
Music
Download
Comments
miraji2005 :
allah atakulipa inshaallah mama yet hapa duniani na kesh akhera
2026-09-28 07:49:42
3
official tiffah💝 :
kuna wakat mama kama namuelewa Vile! ila wasadizi wake ndio wanaomuangusha
2026-09-28 08:22:22
2
sityyy henna &makeup :
wanawachukua na biashara zao alafu wanawapeleka manispaa hutok apo adi na laki 3
na mzigo wko haupewi
2026-09-28 10:56:59
0
oncetena manyama :
apo b mkubwa kaongea fact m naumia sana kuona watu wanavunjiwa meza zao biashara zao zinatupwa asa ndugu zetu wataenda wapi
2026-09-28 09:58:42
1
kidymazinge :
SISI TUMEVUNJIWA MEZA MEKO 🥺 INAUZUNISHA SANA
2026-09-28 05:28:20
1
Mohamed Mwitu :
nkupenda mama kweli ruti itengenezwe
2026-09-28 04:53:55
1
Joachim shao :
tanzania samia samia tanzani
2026-09-28 08:24:03
1
yohana ndidi :
mugambo ndonani kwani
2026-09-03 07:11:39
1
hopenjinjo :
Juzi wamempiga mama mtu mzima makofi na kibeba vitunguu vyaoo,Why
2026-09-27 19:15:40
1
Emery jāy :
Mama safi anae jielewa🙏
2026-09-09 14:33:53
1
Justina :
mama asant
2026-09-27 15:54:50
0
Robert saigilu :
safi
2026-09-10 06:15:57
1
bukole nom :
uko sawa mama
2026-09-09 03:06:27
1
user88655177610181 :
ukosaw
2026-09-09 18:19:04
1
Paluku Sindani Ibrahim :
Asante mama allah akupe maisha marefu sisi wa congo tuna wapenda sana mno
2026-09-10 12:18:30
2
teresiajohn360 :
safi San mama Hadi Leo nimkuit mama 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akulind kwahili
2026-09-09 09:26:19
1
huyu suluu ameongea points sasa leo kuliko siku sotee nimeona ameshaa elewa chenye anafanyaa
2026-09-09 05:38:54
2
Lemburis kimani :
uko sawa wengi tuko inji ya ugenini tukiteseka tutarudi nyumbani tuje kufanya biashara
2026-09-09 06:58:27
1
Johnson Gwakula :
kumbe ni uzembe wa wakuu wa mikoa afu unaongea kirafiki wakat watu tumevunjiwa bidhaa zetu¿?? kwanza wawajibixhwe tulipwe mitaji yetu.... binafsi sasaiv baada ya kuvunjiwa biashara yangu nashindwa ela ya watoto wangu kwenda shule pia biashara hiyo hiyo nilichukulia mkopo kununua kiwanja moj saiv na mwezi cjapeleka lejesho
2026-09-28 10:43:02
0
MRS side officiall🥰🦋💦 :
safi sana mama
2026-09-28 10:22:03
0
Mohamed Jamali :
kumbe mama anesema vzury lakn watekelezaj sasa wanakuja kwa sifa jman mloo pew madaraka msifanye vibaya mnamharibia mwenzenen aliye miamuru mbona mnafany vingine fuaten maelekez
2026-09-28 11:01:49
0
zaynabtastefood :
nakupenda sana mama mngu akupe wepesi🥰🥰🥰
2026-09-28 11:56:55
0
cutejane :
tutatafuta wapi pesa mnazo nyie
2026-09-28 10:24:50
0
Nuru :
Insha allah mama
2026-09-28 10:23:17
0
taliban :
2026-09-27 18:35:26
0
To see more videos from user @galaxyfmtz, please go to the Tikwm
homepage.