hii ndo shida ya media za bongo mtu mmemwita afanye interview mnabadirisha amwongelee mwingine ebu mwache aongelee mzk wake
2026-09-03 07:12:56
7
makaveri :
next
2026-09-06 18:08:21
0
H:E Ricky donics music :
straight outta uganda but Z anto you insipired me actually
2026-09-05 17:51:12
0
Daxy_a67 :
😁😁😁 Yan kila mtu ana taka kuwa mmoj ya mtu alie changia mafanikio ya Daimond
2026-09-06 05:06:50
2
Yee :
watu achen chuk maisha ni kupanda na kushuka
2026-09-03 06:59:20
2
King of storage :
kaka una akili sana
2026-09-22 11:50:06
0
Dalmatius P.G.F :
mlikuwaga wap cku zote?
2026-09-03 06:27:36
1
NaGo :
mashabiki wa diamond wanaumiaaa wanataka asifiwe tu anajua anajua
2026-09-12 05:33:58
0
user99624562421846 :
aulizwe mwenyewe
2026-09-04 16:26:18
0
bway e.u.k :
eti kama tukimtengeneza
2026-09-02 21:00:21
1
lily medy :
Kwan diamond katolewa na nan,,Ali kiba,Bob junior,z Antonio,papa misifa
2026-09-21 20:43:03
0
black_baloon :
kila mtu atasema alisema diamond ali mskiza yeye kiba asema hivyo dudunaya pia kasema huyu nae pia kasema
2026-09-24 23:25:45
0
user7498281638678 :
binti kuziwi z anto
2026-09-11 14:40:50
0
Jordan_tz :
Jamani mbona km watu mnatoa povu mbona jamaa amejibu perfect sana na mbona hana kinyongo amenyooka na hivyo n vitu vya kawaida ss kwann unaleta hasira nn tatizo jaman
2026-09-06 05:33:30
0
Kinara Simmy :
diamond Na off key hio ajaekewa😁
2026-09-14 03:47:24
0
DS MTATA :
KWANI NDO MEMUMUHITA KWAJIRI YA KUMUONGEREA DIAMOND NDOMAN MEDIA ZA BONGO AZIKUWI
2026-09-18 10:08:19
0
sigoraywyne✨ :
Sasa urudi na wewe akasikilize ili na ww utoboe
2026-09-02 20:23:56
3
The print life21 :
🤣🤣🤣
2026-09-03 02:39:17
0
Sia_Collection🛍️👜👚👠👗🩳 :
😳😳😳
2026-09-04 13:07:51
0
central bee :
😂😂😂
2026-09-02 23:20:19
0
Vie twenty :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-07 13:53:31
0
To see more videos from user @dieliapro, please go to the Tikwm
homepage.