@hakihupiganiwa: #tumechoka#wazanzibar #mtaondoka #kwalazima #mtu wenu anatuona kama sisi ni wanyama, wafanya kazi wenzake anawaona kama watumwa, wana teka wananchi, wanawatesa na kuwauwa, hatuko tena tayari kwa tunayofanyiwa , wazanzibari machawa wanatutukana na kutukashfu, tumechoka hatuko tena teyari kwa yanayoendelea, sasa hivi ama zao ama zetu, nchi yangu au kifo.

Reform clasic
Reform clasic
Open In TikTok:
Region: AT
Wednesday 02 September 2026 16:16:32 GMT
11093
214
21
77

Music

Download

Comments

adamson.rubuto
Adamson Rubuto :
haya niyakweli jamani bona tunafanyiwa hivi
2026-09-02 18:11:28
4
naila573
Naila :
Kila lenye mwanzo lina mwisho
2026-09-03 06:35:00
2
ntahondi95
✍️Ntahondi :
Ni kweli, kwani sisi si Wanyama?
2026-09-03 14:03:06
0
mrs.nofel2
Mrs nofel :
astaghfirullah
2026-09-03 04:57:08
1
h743925
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
kweli umeongea
2026-09-03 04:17:30
2
letamaneno
Mr. Legal 💫 :
narudi baadae kusoma comment za kina haji😂
2026-09-03 10:37:12
0
nerds26455455585445
Genghis Khan :
msijali kila jambo lina mdaa wake
2026-09-03 00:29:04
1
chumuamurichumu
Chumu amuri Chumu :
mmm
2026-09-03 05:23:35
0
hilma2086
Asia :
Mimi ni mzanzibar ila Sina roho iyo hata huyo samia unaemuongelea hivyo sidhani km yupo hivyo hayo ni maoni yk wewe binafsi
2026-09-03 06:12:47
0
duagwaza361
Dua :
maisha haya hata ukuniona kama mimi sheta utaniona hivhiv tu.. nipo kwako na nadunda kama kawa 😂😂😂
2026-09-03 10:33:29
1
sharkx.boy.sharkx
Sharkx Boy Sharkx Boy :
acheni chuki zisizo na mana wakubwa ,sio kweli achakupotosha watu ,mzanzibari au mtanganyika mbona hueleweki😭😭😭😭
2026-09-03 06:49:37
0
abdul.hafidh02
Abdul Hafidh :
Angelikuwa hakuna Mwenyezi mungu Wazanzibari ndio basi muungano huu
2026-09-03 08:23:15
0
mkubwa9843
KKM :
mbona kueleweki mtanganyika au mzanzibari?
2026-09-03 08:35:16
0
riyadh2168
RIYADH🇰🇪 :
VUNJA MUUNGANO BASI 😂😂😂
2026-09-03 11:04:31
0
user6977281005120
user6977281005120 :
TANGANYIKA 😳😳
2026-09-03 05:00:56
0
buda.boss90
Buda boss :
ekumbe nifo
2026-09-02 18:56:03
1
leen.adventures
Leen Adventures :
😳😳😳
2026-09-02 17:58:16
1
To see more videos from user @hakihupiganiwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About