@mawo_buy: 🐔🔥 VIFAA VYA UFUGAJI WA KUKU VIPO MAWO BUY! 🔥 Usinunue vifaa tu — jifunze namna ya kuvitumia na kuendesha mradi. 💰 👉 Tunapatikana na vifaa mbalimbali vya ufugaji wa kuku 🎓 Ukinunua, unapewa ELIMU BURE! 💡 Nunua kifaa, pata elimu, anza mradi wako kwa uelewa. 📞 0750401818 / 0757471618 📍 MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji #UfugajiWaKuku #MAWOBUY #Jiajiri #PigaPesa #KukuBusiness
Mawo Buy | Mawo Tools | Farm
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:19:23 GMT
Music
Download
Comments
Evelyne :
machine yagutotoresha kuku inawuzangapi Niko rwanda
2026-09-09 08:37:01
0
bahati evarist :
napenda saana jaman
2026-09-08 17:42:31
1
Happy Ne :
Sasa unawaelimisha unawakemea
2026-09-06 15:11:20
0
mvungi k.l.k.lser8624940717518 :
mimi bado sijaamza
2026-09-10 10:04:16
0
_anilicious :
Hili Banda ni la kujenga Au la kubeba na kwenda kupachika tu?
2026-09-05 11:50:19
3
butterfly :
mashine bei gani
2026-09-08 20:15:19
0
Consolatha Magesa :
uko wapi ninahitaji mashine
2026-09-09 09:33:17
0
salome :
mko wapi
2026-09-08 11:07:01
0
Khamis Maulid :
sasa hizomashine nitazipataje zanzibar
2026-09-08 10:35:15
0
s.m :
machine ya kutengeneza chakula cha kuku bei gani?
2026-09-11 01:39:04
0
beatrice :
Mnapatikana wap
2026-09-10 15:43:31
0
aziabby4 :
mpo wapi
2026-09-09 11:26:19
0
durassa01 :
mashine ya kusaga magunzi ipo?
2026-09-09 07:25:35
0
Gaspal Chapile :
mnapatikana wap
2026-09-09 01:48:17
0
Mallaja Francis :
mpo wapi na watu wa mikoani mnawafikiaje mi nipo Geita
2026-09-02 18:10:37
0
butterfly :
nipo kahama mpo wapi
2026-09-08 20:16:20
0
user9554685453980 :
mko wapi
2026-09-09 10:16:36
0
butterfly :
mashine ya chakula cha kuku bei gani
2026-09-08 20:15:49
0
linaupendo :
jibu maswali machine sh ngapi na uko wapi
2026-09-11 11:16:33
0
linatrevor :
Me naomba ramani ya Banda
2026-09-12 04:43:45
0
user8190078181250 :
Niko Congo RDC Lubumbashi tapata wapi?
2026-09-08 04:18:41
0
Gilly :
mpo wapi
2026-09-07 15:08:46
0
Asiliapoint🍉 :
La kuhamishika naweza kupata?
2026-09-07 05:53:51
0
🐣🥀🦜 :
how much incubator
2026-09-06 22:13:00
0
Rachel Steven cake :
hilo banda ni kwaajili ya kuku wa kisasa tu
2026-09-02 19:09:45
0
To see more videos from user @mawo_buy, please go to the Tikwm
homepage.