Mimi Huwa nikipigiwa simi na new number niulizwe ATI wewe ndio mama Fulani aki mi huanza tu kuhara😂😂
2026-09-26 11:31:38
71
miriam wairimu :
🤣🤣nilikua nitafute boy child🤣bt acha mimalize hiyo stori🤣
2026-09-25 17:44:59
62
Vinny Ady :
hawe ndio wafaa kuenda training ya wanajeshi, soldier already in nature 😂😂
2026-09-25 14:17:23
24
collo Tribeless photography :
boys will always be boys😅
2026-09-26 05:55:54
6
Lillie :
my cousin tied a snake kwa kamuti as he was stealing food to go feed it my auncle followed him .my auncle was shaking he could not even talk unplanned family gathering happened.hayuko tik tok lakini
2026-09-26 07:11:53
15
Amara Leshiy :
What are the training for?😳
2026-09-25 15:07:50
16
Estherj :
pressure imepanda walai hii apana na camera man inafaa awe arrested
😂😂 Boys hupitia🤭 Ukitumwa shop unakutana na mbogi wanakungoja😂😂 Either upigane ndio upite ama urudi nyumbani mbio😂 Nyumbani nayo mum anakungoja 😂 Lazima upigane hata kama utapigwa 😂😂
2026-09-27 05:40:23
12
carol :
Kuna time mine alikuwa amekanyanga dirisha na balcony huko 5floor anadance dance am telling kitambo nifike hapo magoti ilikuwa imeisha nguvu
2026-09-26 14:37:42
15
AUNTY WA MAJUU👌👌💞💞 :
ukisikia being brothers keeper ndio hii sasa sio pesa😂😂😂
2026-09-25 12:59:37
9
miss Esther :
na watch na jicho Moja sitaki jokes zingine
2026-09-25 14:54:28
14
jovicky ♥️♥️💕 :
hii ni sababu Moja nikiona call ama missed call kutoka home ama shule natetemeka tu nikicall 💔
2026-09-26 14:58:17
10
zangila :
kuna time nikipata kijana wangu amepanda kwa balcony ya 4th floor nikashindwa kumuita
2026-09-25 22:24:07
9
gracewanjuguna :
mungu tulindie watoto wetu wakiume jamani niwatukutu🙏
2026-09-26 08:33:39
8
Ray P tz :
halafu wazazi hawajui kama watt wao wanachezea uhai
2026-09-26 07:25:38
6
Sarah David :
na hiyo maji inapita si kidogo aki ,inasweep hawa watoto aki,mama Yao anajua wako wapi
2026-09-26 04:42:28
6
makena :
aki wenye tuna bring up boy child ni mungu tu
2026-09-26 04:38:46
5
To see more videos from user @domieh003, please go to the Tikwm
homepage.