@the.swahili.notepad: The Second Sister episode 57(1) #creatorsearchinsights #lovestoryend #storylovers #Love #tiktoktanzania🇹🇿tiktokkenya🇰🇪🇺🇬🇿🇼💯

Swahili Notepad 🦋
Swahili Notepad 🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:23:59 GMT
103060
12727
490
230

Music

Download

Comments

the.swahili.notepad
Swahili Notepad 🦋 :
Poleni sana kwa kusubiri tamthilia yenu pendwa tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliotokea 🙏🙏🙏Asante kwa support yenu enjoy 🥰
2026-09-02 16:25:38
183
mkamba121
binti mkamba 🍇 :
hamuez Amin shemej yenu yupo kama kelan😅
2026-09-03 15:30:54
0
tinna_tyne
Tyne🦋 :
Kellan na Amara wananifanya niingie kwenye mahusiano rasmi😂😂😂
2026-09-02 19:57:25
27
jescakiliza493
❤️African Jr 🔐💍❤️💯 :
Tunaomba utume nyingine leo leo please 🙏
2026-09-02 16:30:25
30
scolastika94
scola tz :
naomba kuuliza aya mapez yanapatikana wapi maana nayatafutaa na mm 😜🤣
2026-09-02 17:04:24
16
user1283097967474
da wema 🌼 ❤️ :
mtunzi wa hii tamthilia apewe tuzo jmn anajua 🥰
2026-09-02 17:55:39
16
letisialeny
letisia :
Sasa mahii mtunzi unataka tuwaache wetu tuanze kuwatafuta kina kelan,sasa tutafutie kina kelan sasa😅
2026-09-02 17:21:28
6
decute950
De cute ❤️🔐 :
Usijichanganye haya mahusiano yanapatikan kwa AI tu 😂😂🥹🙌
2026-09-03 12:33:47
6
zamzam00374
zamzam00374 :
Mbona cjaona kipande alichoanz kusimama mbele ya Amara
2026-09-02 16:38:54
11
venny.mussa
Venny Mussa :
wa kwanza jamani 🥰🥰
2026-09-02 16:27:15
10
nataliahugos
nataliahugos :
upewe tuzo aki ni nzuri mnooo 🥰🥰🥰😘😘🤩🤩
2026-09-03 09:41:41
1
official.d338
official D🩷 :
AI wanapendana kuliko Mimi 🤣🤣🤣💔
2026-09-02 17:01:47
8
gracekazilalejamson
GRACE JK :
credit kwa mtunzi yaan kellan anapepo yake AI
2026-09-04 08:20:01
0
user272568490
Christinangombe :
Akiii zala anapenda kushika viatu mkononi huyu aaaa😆😆
2026-09-03 19:20:17
0
1214winnie
Kenifrida🍒 :
Jamani namimi natamani nipate mpenzi kama kellan
2026-09-02 20:46:56
0
aaani.nassir51
@ :
cha leo kidojo🥺
2026-09-03 17:38:38
1
zuukagimbo
zuukagimbo :
nani mwingine kagundua kuna penzi jipya la alima jamani 🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 09:09:57
7
zuhuraramaz
zuhurah :
mnachelewa Sana jamani
2026-09-02 21:15:13
1
user6005181615088
Yuncag :
Jamni nimeangalia movie zote lkn hii Yako kiboko kwnza haichoshi umetoa ya tofaut acha zile zngne wanabdlisha muonekno wa wahusika ila stori ni Moja🙌
2026-09-04 12:16:13
0
_sadmood01
user Tinah Mruri :
Jamani mbona mnachelewa sana
2026-09-02 16:46:42
3
shamsamohamedi795
Shamsa Mohamedi :
hahaha sehem yakuogelea lkn wamesimama
2026-09-02 20:13:34
1
tausi.mrisho
Tausi Mrisho :
Amara jaman najua kudeka
2026-09-02 16:44:58
3
sraayakhamis53
SARAH :
yaan huwez post vitu vizur hivi halafu nisikupe like yangu
2026-09-02 19:19:00
2
swalihinaabdara
ba Sasha :
penzi rakweli Alina kipenga mizi
2026-09-02 17:43:28
3
theopistermelu
Theopister Melu :
jamani tulimc sana
2026-09-02 16:35:54
3
To see more videos from user @the.swahili.notepad, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About