@siasatz: JUMBE ANAWEKWA KIZUIZINI MZEE WA RUKSA ANAINGIA KAMA SUPER SUB "BARAKA NYINGI"📌 Aboud Jumbe ndie mtu pekee aliyehudumu kama Makamu wa kwanza wa Rais na Rais wa Zanzibar kwa muda wa miaka 12 mtawalia. 1984 Jumbe anajiuzulu nafasi zake zote kama Rais wa Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Kujiuzulu kwake kunatokana na kile kinachotajwa kuwa shinikizo la kisiasa baada ya kupishana mitazamo na Hayati Baba wa taifa pamoja na chama chake kuhusu muundo wa muungano. Jumbe anawekwa kizuizini, Baraka nyingi zinaangukia kwa Ali Hassan Mwinyi ambae anakaimu nafasi ya Urais Zanzibar, Makamu wa kwanza wa Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 1984 nafasi aliyodumu nayo kwa mwaka mmoja tu na baadae ilimpendeza Hayati Baba wa taifa kung'atuka akimuachia nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano. ( huyu alikuwa guardian of the galaxy - Hapa tumia akili kuelewa) Historia haitaacha kutufunza mipango mikubwa ya Mungu juu yetu wanadamu. Sasa wakati huo Mwinyi aliingia Ikulu kama Super Sub ( hivi karibuni pia kuna super sub imepigwa🙌🏻 ina sifa za upole kwa namna fulani kama za hayati Mzee. Sijui mnatuelewa? 🙌🏻😂 au basi tuendelee Legal History.🚶 Nyerere alisimama kwenye majukwaa kumnadi Mwinyi kwa utumishi wake uliotukuka huku akigusia mchafuko wa hali ya hewa uliotokea Zanzibar wakati wa Jumbe. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:32:04 GMT
11368
437
9
26

Music

Download

Comments

canvas_tz
Canvas_tz :
Hotuba Nzuri Ila background music
2026-09-02 18:03:28
0
user3551060661824
user3551060661824 :
ALLAH awasamehe waislamu wote walokwisha tangulia mbele yahaki apo wengi wao now washamezwa na mchanga ALLAH atujaalie mwisho mwema
2026-09-02 18:15:39
2
user432970028668
massu :
Nyerere mungu amlani
2026-09-02 19:48:36
0
dickh112
dickh 112 :
hotuba nzuri 🙏🙏🙏
2026-09-02 17:31:17
0
saidaaliy4
M_sule24 :
ss mnaitaka tanganyika nyerere mlimsifu na kumuona ana akili sana na mkamtukuza mpaka ss yupo mzoga, ss nduwana mmeila mtakoma kujuwa
2026-09-02 19:22:33
0
user202775321203
TEFLON GOODLUCK :
huyu nyerere alikua firauni wa pili masikini leo juko wapi ameacha kila kitu mungu amlani kwa matendo yake mabaya ,na pia amfanyie wepesi kwa matendo yake mazuli
2026-09-02 21:06:05
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About