Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-02 18:06:03
2
user3038185875620 :
Unasema huna mengi ila bado una mengi
2026-09-02 18:11:51
1
kabude :
Dotto ni msanii
2026-09-02 19:29:54
0
user9836776173395 :
kwani wamefanya nini
2026-09-02 19:45:54
0
Chikwende. J,R :
wasomi👋
2026-09-02 19:56:25
0
Kennedy Mugala :
wasomi hi
2026-09-02 19:16:09
0
🤳📱DIMO PHONE SOLUTION 🤳📱 :
awo Ni tiktoka so wasanii
2026-09-02 20:01:17
0
Leonard John :
mbn mamba ajaitwa
2026-09-02 17:40:14
1
fuull bokasa :
siasa bwana
2026-09-02 19:42:19
0
MAMEN CHUSSE :
asantee niokoteshee 😅😅😅
2026-09-02 18:33:19
0
anna@y :
twende kwenye pointing, Kwa Nini mumwitwa?? aaah
2026-09-02 19:32:00
1
listonbyekwaso :
Kwan wasomi mume mfanyaje bro doto jaman
2026-09-02 19:06:42
0
Waziri Mussa :
Kwani wasomi wamemfanya nini Dotto
2026-09-02 17:40:01
1
Baraka£9 :
nilipo sikua taasisi nikajua tu anaitafutia wasomi Hiiii
2026-09-02 17:32:48
0
simeon john :
ulikuwa unasema kauli mbiu ya taifa unamalizia na hapa ipo
2026-09-02 18:22:48
0
Kennedy Mugala :
mamba umejificha wapi
2026-09-02 19:17:19
0
Danny Bujiku :
chid unacheka
2026-09-02 18:01:23
1
Em🔞👈✨ :
na hapa ipo
2026-09-02 18:38:22
0
chue bl@nd ambassador🐅 :
ATAOMBA HELA APO DOTTO🤣
2026-09-02 18:45:58
0
DUNIA :
😁😁😁wasomi hi ila doto wasomi walikufanya nini😁😁😁😁
2026-09-02 19:40:13
0
firstborn :
kidogo aombe ela
2026-09-02 20:14:50
0
G FURNITURE CLASSIC :
chid unachekaaa eeeh
2026-09-02 19:00:53
0
balotel mendeziiiiii :
anaweza akaomba aokoteshwe
2026-09-02 19:43:06
0
Ismailgwaya :
Hujaokota hela hapo kwa waziri wa Mambo ya ndani
2026-09-02 18:35:31
0
To see more videos from user @suu_tv4, please go to the Tikwm
homepage.