@5star_newstz: Mwigizaji Chanuo Chakali amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mume wake, YJ Kiboko, akisema hakuwa na sababu maalum ya kuachana naye bali alifikia hatua ya kuchoka na kuamua kuondoka. Chanuo amesema kwa sasa hana muda wa kuendelea kuvumilia mambo ambayo hayamfurahishi, akieleza kuwa ameamua kuangalia maisha yake na kusonga mbele. #updates #5starNewstz

5star NewsTz
5star NewsTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:39:01 GMT
28972
953
19
10

Music

Download

Comments

neema.mg
Neema Mg :
kweli kabis
2026-09-02 19:24:08
2
dafrosa33
Be smart always :
Kwanini umtukane
2026-09-03 12:59:51
0
husnabakari335
D huu 💖 :
ni kwelii jmn tunavumiliaga tu
2026-09-03 11:51:04
1
user8123166598199
cute nelly :
amna sababu kwasababu Mimi nilichoka asa icho kiswahili Gani mwezetu ueleweki
2026-09-03 18:48:33
0
user8113804522912
Ommy Tz 🇹🇿 :
UKmy Nijibu tosha dada ang Mengne tuna samehe tu
2026-09-03 05:03:54
2
rashmii1203
Rashmii :
Jamani vya ndani ni siri
2026-09-03 10:49:24
0
h.b.mussa.com
H.B.MUSSA :
ulisema pesa simemuishia
2026-09-03 14:03:13
0
monalisanovati
Mona mo :
kweliiiiiiii
2026-09-02 18:35:20
0
elizageorge737
ME ZABETH :
kuondoka ndo suluhishooo hayo mengne mtakua ninyi
2026-09-03 04:05:51
2
gina25714
gina :
da pipy nishushe
2026-09-03 00:21:31
2
songo869
Big Boss Joeli :
We jau
2026-09-03 03:17:52
2
josepheni0
Josepheni :
una jipya chanuo
2026-09-03 05:43:56
0
princess.atala5
Princess Atala :
iloooooo limefumaniwa ilooooo sungo iloooo
2026-09-03 11:00:30
0
fmashauri
Masha :
Chanuo linaweza kulia wakati linachanuwa nywele
2026-09-03 12:43:53
0
rais.zai
Rais Zai :
mmh siumesema Hana pesa zimeisha
2026-09-05 17:40:12
0
mzapharan.mohamed
mzapharan mohamed :
😂😂😂
2026-09-02 18:17:48
0
moshi.machunte4
Moshi Machunte :
😳😳😳😳
2026-09-02 18:41:49
0
feisalbryalugaba7
FEI FOFANA FEITOTO :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁
2026-09-02 17:51:36
0
user9147770743472
user9147770743472 :
😂🤣😂🤣
2026-09-02 19:51:39
0
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About