mwenyezi mungu amfanyie wepesi sheikh nurdin kishki kwa moyo wake mzuri
2026-09-03 04:36:21
20
mariam shaksi :
shekhe kishik mungu akulinde sana na uweze fanikiwa sana
2026-09-03 05:13:16
11
@Starry_Shine :
hakuna kama mama menye enzi mungu wape maisha marefu wakina mama wote wapambanaji na uwape riski ya halali na uwape mafanikio hapa hap dunian na kesho akhera Amin🙏🙏
2026-09-03 08:01:46
4
Mariam Hamed442 :
bora asaidiwe
2026-09-03 11:31:56
0
Samirahannad :
Allah akulipe sheikh Nurdin Kishki Allahuma Amiin
2026-09-03 11:50:45
0
Eshe Bakari :
mashallah mama ni mama
2026-09-03 08:35:32
1
AS VIZI :
😁😁 dada yangu uyu
2026-09-03 06:15:30
1
mama yao :
copy tupu ndo watakaoenda kusema ni wao
2026-09-02 19:01:35
0
abuu nasruddeen :
mashallah
2026-09-02 17:24:36
3
odo :
mashallaah namiona sana apa maeneo ya bandalin
2026-09-03 09:24:09
0
Mariam :
hongera mam🥰
2026-09-03 10:27:25
0
user761919426174 :
ypo,irara
2026-09-03 09:49:12
0
Ms Nuh🦋💞 :
Alafu panamtu anamuona na anapesa alafu ligi ikianza ananunua goli 1 kwa milioni 5 dah
2026-09-03 11:40:30
0
yasintaa yasin :
saa bahati ya mwenzio usiilalie mlango waz
2026-09-02 19:02:11
2
Mmmmmmm :
sheikh wetu Allaah Akuhifadhi
2026-09-03 10:47:19
0
happydicson💞 :
yupo hapa gerezani mala nuyingi anapita apa
2026-09-03 08:59:34
0
Faiza Abdallah :
Mwanamke bomba🙏🙏🙏
2026-09-03 07:21:12
0
user3703036985666 :
mashaallah Mashaallah
2026-09-02 18:37:20
0
hafidhastara :
yaan anajuwa kuangaika allah amjalie wepes
2026-09-03 05:05:54
0
khadijajuma408 :
nipo hapa
2026-09-03 05:19:40
0
Maalim Kaisi online tv :
Mashallah
2026-09-03 06:38:06
0
lips :
cjui nalia Nini Mimi,...daah mama mama maammaaa
2026-09-03 06:07:50
0
Anna mmbaga :
kunasiku nilimuna njiapanda yakigogo
2026-09-03 07:48:08
0
mama p :
ilamamazetu wameptia meng na wanaptia MENG ktk malez Yao wallah🤲
2026-09-03 07:04:45
0
NOURA88 :
Mashaallah
2026-09-03 02:58:37
0
To see more videos from user @abuu.nasruddeen, please go to the Tikwm
homepage.