@bongo_media: Yeyote anayetaka kumuoa chanuo kwanza mpigie simu madebe au nenda kwa madebe akufunde namna ya kuishi na mchanuo hivi nyie mnamjua vizuri yule mbinga mnamjua vizuri madebe alidai ni chuma cha mjerumani madebe alidai peke yake ndio kaweza kuishi na cha nuo kwa miaka zaidi ya 10

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:41:17 GMT
126031
7464
204
65

Music

Download

Comments

rynetoto7
Ryne toto :
sio chanuo tu wanawake wote tupo hvo😂 tumtee mwanamke mwenzetu mbona mnatupiga matukio na ninyi bhn
2026-09-02 19:04:14
89
hushil_96
hushil :
kma anajua jins y kuishi nae mbona kamuacha
2026-09-02 20:53:13
28
cuteseptember8
September cute 🐆🦋💍💜 :
kwann mnamchafuria mwenzenu hivyo
2026-09-03 05:58:02
3
monicamgonda
mama boy's :
yani ww ndiyo umeongea sasa very good
2026-09-03 05:27:24
11
sophiageorge190
sophiageorgeuhahu :
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake
2026-09-02 18:23:56
29
mama.sharon512
Groly 💖💖💖💃💃💃 :
kwani chanuo ndo wakwanza kuachika au kwasababu tunamuona kwenye tv
2026-09-02 18:19:42
70
shakira.a..banobi
Shakira A. Banobi :
Mbna walioachana n weng sio chanuo2
2026-09-03 08:12:41
3
iamneyjojkimby
am jojo og💎 :
Mbona kama mnataka ligi
2026-09-03 09:22:53
1
giftriri01
Da Gift 🥰 :
Sio chanuo tu kila mwanamke na mapungufu yake kama walivyo wanaume
2026-09-03 05:16:44
0
user8491522460605
user8491522460605 :
apo kaka nimekuelewa safi sana
2026-09-02 18:35:14
24
user3774942054852
user3774942054852 :
mbona baada ya kuondoka kwa madebe,nipo chanuo alipendeza sana,Mimi sieajui lakina😎
2026-09-03 06:52:48
1
evengaina
evelin :
Kwan yey chanuo anasemaje
2026-09-03 04:19:56
2
jenipherramadhan2
@official❤️Lovely💞💕 :
Unaambiwa mtu ukimtaka kamuulze ex wake kwanzaa😂😂😂
2026-09-03 06:25:30
2
penejr2
Pene JR 25 :
Mbona aliachwa saa huy madebe??
2026-09-03 04:22:43
2
leaciousmethods
leacious Methods :
Mm mmmmmh watese dad saw usiache
2026-09-02 20:52:28
1
gracekihwili422
Grace Kihwili50 :
madebe. kweri anauvumilivu
2026-09-02 17:39:50
10
mandaihamidu
MANDATE MANDAI :
uyu dada jau san
2026-09-02 17:39:06
8
user4824039036885
hope :
ye kashindwa amfundishe nani
2026-09-03 08:23:30
1
user29099712980798
Shamira :
mnamkubari ndiyo mana mnamsemaa
2026-09-02 18:52:08
4
anna.mussa86
Anna Africanna :
Hata 50 sio shida zetu saiv
2026-09-03 05:05:36
1
dooms4818
Shaq :
2026-09-03 03:15:02
2
user1773631868312
F3057khalfan :
kocha kochaaa ile filam imejieleza
2026-09-02 19:43:56
2
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About