@jvckieseven: baada ya kundi la tmk wanaume kugawanyika pande mbili mwaka 2007 ndipo hawa waliobaki wakatoa hili goma likiwa ni diss track 🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:47:45 GMT
10917
550
42
12

Music

Download

Comments

elitafawa
Tozyguy :
kitambooooo hiko niko form 1 wallah
2026-09-03 12:32:27
1
issv_dre
issv_dre :
Chege Chigunda “ Top Shata” so Underrated 🥺
2026-09-03 12:15:35
0
tilagangbajajiboy
KING TILA :
Marko 10:4 Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha. And they said, Moses suffered to write a bill of divorcement, and to put her away.
2026-09-03 00:51:59
0
mrbabaj2
Baba J :
Juma nature alizinguana na Q chief kisa hii ngoma I remember
2026-09-03 07:49:21
1
quayvx7
quayvx :
Good seasons hizo times. Tracks motomoto
2026-09-03 12:06:10
0
kitonga52
RBA :
sèma hii ilikuwa kali kuliko ile ambayo juma nature na wenzie waliorudisha majibu ambayo ni tatu bila
2026-09-02 17:36:56
3
balloteli16
Ahmed balloteli :
ila wanaume halisi walikuwa Wana mtu ambae tayari ni icon..ndo mana hata pale diamond jubilee wanaume family walipotezwa vibaya sana
2026-09-02 18:27:00
2
user83214971002665
alex :
Q chief aliua sana kwa chorus
2026-09-02 19:52:52
5
husseinchea
Hussein Ibrahim :
Tatu bila ilikuwa kali zaidi
2026-09-03 05:00:35
0
rammer.khan
Rammer Khan +254 🇰🇪 :
watu hutoka mbali😂
2026-09-03 06:53:42
0
paschalpastory97
paschalpastory :
Tmk zote zilikuwa zinapendwa na Wana Sana ushindi inategemea na vibe lenu siku Iyo lakini nyimbo za Family zilikuwa hatari Sana kulikuwa na mafundi wa kutosha ... Q chillah humu aliua Sana 🙌
2026-09-03 08:59:00
0
the.wannadallass
The Wanna~Dallass :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-02 19:28:19
0
tilagangbajajiboy
KING TILA :
Marko 4:10 Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Thenashara, walimwuliza habari za ile mifano. And when he was alone, they that were about him with the twelve asked of him the parable. Temba
2026-09-03 00:49:52
1
user5137927658369
Biggest Boss@966 :
Nikiwa form 4,umenikumbusha mbli broo
2026-09-03 04:07:53
1
bigbilly3600
Big Billy 😎👑 :
LY 2007 , 🔥🔥 like zakutosha hapa . 👍
2026-09-02 18:33:58
4
vian96_0703
Vian96 :
Tatu bila ya nature na hii naondoka na hiii bhanah 😁😁😁 kazi ipo ✊🏾✊🏾🫡
2026-09-02 19:37:41
2
abuadnazmin
abuadnazmin :
kama mkenya ikitoka hii track twaenda club ikiguswa tu wanawake walikuwa wakikaa kando wanaume wote wanaanza shindana kukamua. ndio utajuwa wanaume halisi na family walivyo iteka game
2026-09-02 18:40:44
2
1978kjk
khamis :
na yeye aliwajibu kwa ndege tunduni
2026-09-03 07:57:29
0
musa_ziu
MUSA_ZIU :
hio ilikua kiboko banaa q chilla alikua corus
2026-09-03 06:57:55
0
mzungu0335
mzungu :
malegendary wa bongo Flava waliofaliki familia zao zinanufaika leo.
2026-09-03 02:11:56
0
kessy9617
KESSY :
@Jumanji Juma unamkumbuk nani hii
2026-09-03 10:19:29
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About