sawa kesho njoo staff mtoto mzuri tukupandishe uteme cheche😂
2026-09-02 19:09:12
257
saraphinatweve142 :
tunaosema ameongea point tujuane😁😁😁😁
2026-09-02 19:50:52
285
@Sarah❤❤❤💞 :
natafta comment ya mwalmu wa dorcus
2026-09-02 18:41:33
0
Evelyne Erick :
sasa hili ndodukuduku la kweli hongera mwanangu
2026-09-02 19:26:35
68
kim ney :
nimekua wa kwanza my dorcas😂😂😂
2026-09-02 16:58:13
109
Liz❤️❤️ :
Wazazi ndo wana kula shule
2026-09-02 18:35:32
73
Yusto Alamayani :
da pipy nishushe
2026-09-02 22:13:29
0
V Money :
Ivi kwani usipo sema nishushe unabaki juu au😂😂
2026-09-02 17:06:42
91
Gyvanne lady :
Nipo bize natafuta comment ya pipytida
2026-09-02 21:41:44
1
lizie :
Mwanangu ur missed
2026-09-02 21:56:31
0
user1431234996193 :
nikajua dukuduku lake ni la sharobaro mzee kumbe walimu
2026-09-02 17:09:23
20
Dizzie cute 🥰 :
hii inchi 😂 ipo leleeleeeee
2026-09-02 18:26:02
5
MWAKA THE KING :
Hii nchi toka tarehe 29/10/2025 ipite Bado haijakaa sawa
2026-09-02 20:49:38
10
sania cosmetic :
subili mwalimu akuone
2026-09-02 18:20:13
26
Fetty ismail :
hahahaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 21:07:56
0
Phina@56 :
Napenda sauti Yako dogo
2026-09-02 17:57:18
5
nasrahuseyn :
kweli kabisa hili kweli dukuduku
2026-09-02 17:58:34
11
Naomi kyando :
Dukuduku limempata mwenye dukuduku 😂😂😂😂😂
2026-09-02 19:45:08
6
joycewillium705 :
hii inchi itakua yakwanza kuangamizwa pindi mwisho wa dunia utapofika🤣🤣
2026-09-02 20:21:38
11
B A B A L É É🇰🇪 :
Dorcus kesho ukija shule uje na mzazi
2026-09-02 18:54:59
5
neema :
asant wambie jmn wamezidi jmn kweli kbs
2026-09-02 17:31:07
14
mama Vitalis🧚 :
jaman da dorcus nipandish umesema kweli ten mpk mwanafunz anachapwa kama vile yeye ndy mtoaji pesa natak kesho niend huko shule kwann wanapika mtt wakati number zet wanazo nishushe
2026-09-02 17:22:39
15
Glory_mpanda :
Hiyo kweliii mm pia sijapenda watoto wanakosa gani?🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 21:50:17
2
🦀MuchKnow💦 :
Mtagi Baba Yako Apoo😅😅
2026-09-02 21:40:40
2
To see more videos from user @mabompo, please go to the Tikwm
homepage.