Lazarus 💥 :
Being chosen is funny 🤭 imagine ukiingia tu ivi kwa maisha ya mtu,mara io io maisha ya huyo mtu inabadilika ,anaanza kushine🤭, blessings znakuwa mingi sana kwao,sasa the funny thing is that hao watu ufika mahali wanaanza kukudharau ,ama pride yao inakuwa juu without knowing you're the one bringing all those blessings,nakwambia ikifika hapo as a chosen one tunakuaga na kazi ngumu sana🤭😂,imgyn mtu anakutesa,saio wee do umeshikilia blessings zake,and you know it very well🤭,nakwambia unaskiaga satan akikutempt uachilie life ya huyo mtu😂😂😂of which you have the authority, everything in you is right 🤭,ukisema afilisike ,it happens,,but all in well tunakuaga na a very good heart,ata hivo unaskiaga tu usimuache...
2026-09-02 17:42:56