Ilo jambo jana tu nimetoka kumwambia mume wangu.... Sahihi kabisa...Yaani mi ndio siwazi kabisaaaaaaaa tendo la ndoa.
2026-09-03 04:24:56
10
Jean de Dieu :
Sasa kwanini wanawake wanachiti sana kuliko wanaume? Kama kweli tendo la ndoa Sio priority? Hapo sijaelewa.
2026-09-03 07:06:19
3
YUU :
point yako ni nini sasa
2026-09-02 19:21:06
2
Dennis mruma :
Sawa, tumeelewa ngono sio namba moja kwao. Swali ni je, nini namba moja? Maana ukikimbia jibu utafanya watu wafikiri hata wewe hujui priority zao ni zipi 😂
😂😂mbn umefuta comment yangu wakati tunajadili tu😂😂😂
2026-09-02 20:49:52
2
MDIMA :
ndy au
2026-09-03 02:20:52
1
George Mushi :
mnawaza nini sasa ndugu?
2026-09-03 08:12:48
0
SELFCARE SHOP| ARUSHA & DSM🍒 :
Yaniii tena wanakwambia huwezi kaa wewe bila kufanya.. yani tena niwambie kwa kusimama hiyo is not a priority niko mwaka wa 4 na sina mapango😅😅😅
2026-09-02 17:46:38
3
KYK :
unaongeya kweli kabisaaa
2026-09-03 03:10:23
0
KELLY CASSAN🇹🇿🇹🇷🇨🇳🇷🇴🌎 :
oi naweza kaa hata miaka miwili miwili mtu ukimwambia anakwambia so kweli unabisha ulikuwepo
2026-09-02 18:34:16
1
Samba :
sema pesa
2026-09-02 23:49:59
1
roy💦 :
mdada kwel kabis mm hapa nakaaga miaka bila tendo la ndoa
2026-09-03 03:59:02
0
Guy emedi :
sawa ivi wewe haupenda ndoa,natumaini una penda business,basi mimi vile vile sina mawazo ile basi tuki elewana tuwe warafiki bila tendo la ndoa ju ya développement ya inchi zetu
2026-09-03 08:51:29
0
Marry Julius :
kabisa hata mimi ndo hivyo na ukimuambia mtu niko single mwaka sasa hiv na haamini
2026-09-03 05:03:15
1
tiktok notification :
ndio napenda 🤣🤣🤣
2026-09-02 23:34:14
0
Mohamed_Al'abry :
na hata hao wanaume sio wote wanao waza hayo ☺️🤣
2026-09-03 04:02:14
1
user4108386668051 :
sisi wanawake tuko juu
2026-09-02 23:25:18
0
Sospeter _Tweve :
nashindwa kuwaelewa some times
2026-09-02 19:20:38
0
To see more videos from user @tuktane_, please go to the Tikwm
homepage.