@tahiyasama: Hongera sana dada @Maua Sama yangu kwa zawadi hii kubwa ya mtoto mpya! 🥹❤️. Nazani mnaniona apo Auntii akee🥰🥰🔥. Mungu amebariki familia yetu kwa furaha nyingine. Nakutakia wewe na mtoto afya njema, nguvu na upendo mwingi katika safari hii mpya ya kuwa mama. Mungu amlinde mtoto wetu, amkuze katika afya na neema nyingi. Karibu duniani mtoto wetu mpendwa! 👶❤️ #creatorsearchinsights #fyp