@amkainuka: Sababu za mwandishi wa Quran kukwepa jina Yasūʿ al-Masīh @Baba Haleema

Amka
Amka
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 14:00:00 GMT
4912
385
42
96

Music

Download

Comments

user232131481852
jennifer :
ubarikiwe mpendwa
2026-09-05 14:35:15
1
stephen.robert23
Stephen Robert :
mwalimu nataka hizo hadithi nazipata vipi?
2026-09-03 23:35:38
1
chengula18
chengula :
ISA SIO YESU
2026-09-04 04:07:22
4
nicephonne.bonifa
Nicephonne Boniface :
𝐌𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐀𝐦𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐦
2026-09-03 16:56:48
1
antoniablastus
antoniablastus :
MUNGU amekukokoa na wewe ni mwalimu mzuri sana
2026-09-05 13:50:42
3
i.belong.to.jesus245
I belong to JESUS :
Uko sahihi sana mtu wa Mungu
2026-09-03 14:11:09
2
dianathedresmaker
Dianathedresmaker :
amka
2026-09-03 18:10:32
1
julieth.maiko
isaya laiza :
amina ubarikiwe mwalim
2026-09-03 15:04:50
1
marthanyoni680
marthanyoni680 :
Asante sana kwa elimu hii YESU wetu watu wajue ukweli..👏👏🤝
2026-09-05 18:05:57
1
fredytorokoko
Kwa mama Gideon :
ni kweli kabisa.
2026-09-03 16:45:18
1
user5842576161814
user5842576161814 :
emen
2026-09-04 02:43:48
0
ezey.raymond
Ezey Raymond :
mungu alikuacha uijue dini ya kiisilam zaidi ili uje kuwa msaada wa wengi kuijua kweli, cha msingi usiache kusema kweli kila unapo amka kwa sauti hii ipo siku mtu atakutia nguvu kuwa ameokoka kwa kuujua ukweli unao uhubili sasa,
2026-09-06 08:45:24
0
user0745365649
[email protected] :
upo sahihi kka
2026-09-04 18:45:53
0
kibe3932
kibe :
👏👏👏🙏
2026-09-03 20:58:41
0
thewhiterose4244
WhiteRose :
Amen
2026-09-04 06:30:59
0
mgalatiaemmanuel
mgalatia Emmanuel :
amina kaka umezungumza ukweli japokuwa ukweli mchungu ila wanaamini kwamba ukweli ni uwo
2026-09-03 16:04:30
1
noelly.belly_bear
Noelly belly_bear :
nawasikitikia sana waislamu mm MUNGU AWA SAIDIE 🙏
2026-09-03 17:57:53
1
alwatan8877
Marshall Zhukov :
N kwl kabsa Yesu sio isa
2026-09-03 15:35:03
1
chiefmgwami
ChiefMgwami :
NAOMBA NIKUULIZE.... YESU MAMA YAKE NI NANI NA ISSA MAMA YAKE NI NANI??
2026-09-06 10:10:36
0
matoboymkuthe.sam
Matoboymkuthe samson :
ata hivo yesu sio Jesus
2026-09-04 11:52:00
0
kiasi.ludovick
Kiasi Ludovick :
🌹🌹
2026-09-05 06:47:56
0
justinejustinej
Justine :
@Baba Haleema njoo ujifunze kazi makejeli tuu
2026-09-03 18:46:22
0
patylovetz
Partylovetz :
🥰🥰🥰
2026-09-04 09:18:29
0
user5334041973948
سليمان الحبسي :
Hivi inawezekana watokee watu wawili tofauti wamefanana kwa bahati kwa kiwango hiki? a) Isa na Yesu, wote wawili mama yao anaitwa Maryamu b) wote wawili wamezaliwa kimuujiza bila baba kupitia Roho Mtakatifu c) wote wawili wamepewa injili d) wote wawili wametumwa kwa wana wa Israeli e) wote wawili walifanya miujiza ya kufufua wafu f) wote wawili walinyanyuliwa juu kwa Mwenyezi Mungu g) Wote wawili watarudi tena mwisho wa nyakati
2026-09-03 14:25:54
1
To see more videos from user @amkainuka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About