@bbcnewsswahili: Serikali ya Kenya imeiambia BBC kwamba inakadiria kuanza kuagiza maziwa kutoka nchi za nje ili kuziba pengo lililopo katika upatikanaji wa bidhaa hiyo. Taifa hilo linakabiliwa na uhaba wa maziwa, huku shirikisho la kushughulikia maslahi ya wanunuzi COFEK likionya kuwa uhaba huo huenda ukachochea kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo. Mwandishi wa BBC @Ahmed bahajj BBC ametembelea mitaa ya Nairobi kubaini jinsi hali ilivyo, na kuzungumza na wananchi. 🎥@Baba Sibuor #bbcswahili #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #fyp #maziwa

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 16:57:27 GMT
33157
1186
18
212

Music

Download

Comments

naturalhairgirl14
NaturalHairGirl 💁‍♀️ 🇹🇿 :
njooni Tanzania huku yapo ya kutosha kabisa
2026-09-02 22:00:42
1
swalehwa02
SWALEE WA 002🇰🇪 :
Kwani bado kuna mtu anatumia maziwa jameni 😂😂
2026-09-02 18:23:04
5
judy.me78
Ju.D :
hawa watu işinə wanataka kuleta power milk.siwaamini
2026-09-02 21:40:09
1
user2552315347476
monte :
mbona msa tele
2026-09-02 22:29:29
0
muhammadisabaya
muhammadisabaya :
hata Mimi pia Jana nimekosa maziwa
2026-09-02 17:15:00
0
wa.nangame
The Xpals :
Sio tatu bali siku tano
2026-09-02 20:29:52
0
fatumaahmed1757
fatumaahmed1757 :
ipo kwa maduka.
2026-09-02 17:47:06
0
dinhaji
dinhaji_43 :
kweli kabisa bro
2026-09-02 20:20:58
0
okaythanks435
Samuel Lukumay 💯🎶✔️🆗️🇹🇿 :
😎😎
2026-09-02 19:31:41
0
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
njoeni Tanzania Baba lao tunayo mengi sana
2026-09-02 17:25:37
0
ashsahmed
eysha413 :
watu wa sturungi hoyeeeee
2026-09-02 19:55:57
1
akkuuste
akuu :
mbona Getto ziko
2026-09-02 20:50:38
0
kijanayaja.0
kijanayaJah :
wakulima wanamwaga MAZIWA KWA kukosa SOKO. taarifa yenyu mbovu🤔 ,wahusisheni wakulima .
2026-09-02 21:53:31
0
tabulesilas6
silas tabuley :
kayole
2026-09-02 18:39:11
0
nakupendaworld
Nakupendaworld :
🔥
2026-09-02 18:38:19
0
l.m.store2
L.M. STORES :
😳😳😳
2026-09-02 19:35:21
0
najma4756
Najma :
🥰🥰🥰
2026-09-02 20:32:24
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About