@rehemasimfukwe_: 10.2m ✅ MAMA GOODLUCK ANASEMA ASANTE SANA🙌🏾😭 Kodi✅ Bima✅ Matibabu ya macho✅

Rehema Simfukwe
Rehema Simfukwe
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 17:17:55 GMT
386933
55799
948
274

Music

Download

Comments

sophialwija
Sophia Lwija :
watanzania tutasutana tutatoleana maneno machafu, lakini kwenye kusaidiana kwenye shida tuko vizur, tuna huruma saaana. Mungu atupe mioyo hii siku zot
2026-09-02 20:38:00
1881
happymartin61
Miss Mwageni :
utashangaa baba mtt anarudi na anapokelewa 😂
2026-09-03 11:52:58
156
upendo524
Upendo :
Asantee yesu kwa ajili ya huyo dada🙏🙏
2026-09-02 18:11:44
713
theclajulius60
TheclaJulius60🇹🇿❤️🇺🇲 :
Mama Good luck mzuri sana ❤️
2026-09-03 08:41:18
16
filomenaelia
menah :
mungu awabaliki wote mliopitisha mkono kwa uyu dada🥰🥰
2026-09-02 18:25:57
189
nanaflowers03
Nana flowers :
Happy tears..
2026-09-04 11:20:26
0
catherineamini619
Kate :
shalom,am a Kenyan and have worked with children.Are there job opportunities at your center?
2026-09-03 05:39:20
0
jessgiddey1
jessgiddey :
wooooow god is good
2026-09-03 20:34:27
0
biaprosper8
biaprosper :
me staki kulia jamani🥺🥺Mungu mwema awabariki wote mliotoa jamani
2026-09-02 17:51:02
138
ney.cosmetic1
ney.cosmetic1🛍️❤️ :
Wakati wa mungu ni wakati sahihi ❤️❤️
2026-09-02 18:58:10
45
rhemamwanyasi
Rhema Mwanyasi :
dada Rehema MUNGU akubariki na azikumbuke sadaka zako 🙏
2026-09-02 17:41:39
337
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Mungu awazidishie wote waliotoa mala 💯 zaidi 🙏🥰
2026-09-02 21:58:51
38
.cinema_inspiration
cinema_inspimotivation :
Yeah she deserves all that and more than after the pain she’s been through GODSSPEED
2026-09-02 20:43:34
1
rehema.john.2007
rehema john 2007 :
Amina dad
2026-09-03 12:07:32
0
menady2
Menady :
Wewe unayesoma comment hii, Mwenyezi Mungu akukumbuke katika kipindi hiki kigumu. Pengine moyo wako umebeba uzito mkubwa wa majonzi, msongo wa mawazo, au maumivu ya ndani ambayo huwezi kumweleza mtu yeyote. Mungu anayeona yote ya sirini akakupe amani ya kweli moyoni, akupe uvumilivu, na akufungulie mlango wa kutokea mahali ambapo huoni tena matumaini.
2026-09-03 11:57:58
26
emiliavanessa08
Unknown woman 👩 :
Sasa hapo huyo mwanaume atakavyokuja kwa speed ya 5G ukimpokea tu umekwisha pambana sasa na mwanao Mungu akutangulie kipenz 🙏🏻
2026-09-03 06:18:03
37
melea.juma4
Melea Juma :
samahani jamani mimi sijui nini kinaendelea???
2026-09-02 21:26:02
24
malaik940
Malaika :
Sasa nalia nini 🥲wakati wa mungu nisasa hongera kipenzi
2026-09-02 17:55:31
55
chuner.hassan
Chun'er Hassan :
Jamani 🥰🥰🥰🥰Mliotoa hapo Mungu awalipe zaidi
2026-09-03 15:22:16
7
agusta6056
agusta mpangwa :
mnavoambiwa watoto ni baraka baraka zenyewe ndo hivi Kila kitu kinakuja kwa kusudi Mungu anamaguvu sana
2026-09-03 06:57:53
8
kylie45.aquil
Mi Amor ❤️ 😘🖤 :
Wakati wa mungu ndiyo sahihi hata kama Dunia nzima imekukataa au kukuacha Mungu hapimwi kwa wakati wala majira 🙏Mungu ni mwema wakati wote na majira yote 🙏❤️
2026-09-02 19:06:56
5
mrs.hamis35
mrs hamis :
dada rehema mungu akubaliki sana akupe miaka 10000000nakupenda sana dada yangu
2026-09-02 17:47:42
13
reinabeautysalon2
Reina Beauty salon👑 :
Hongera sana kwake🥰🙏me nikishika hata milioni 5 nahisi niachanganikiwa😂 hii akili yangu navyoiona nitaweuka aisee Money come to me easily Money come to me fast 🥰🙏
2026-09-02 19:09:21
6
To see more videos from user @rehemasimfukwe_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About