@chasamabranding7: Wakati wa Mungu ni wakati sahihi🙏 Mungu ni mwema tumeanza Rasmi biashara ya Yusuph🙏 Tunaombeni Sapoti zenu🙏💪❤️ #BiasharaYaYusuph #SupportYusuph #TShirtTanzania #Tanzania #TShirt
Naomba nikishauri pia kama kijana mwenzangu huo mlango sio mzuri kabisaa kwakipnd hik pambana utakapojipanga chongesha hizi get zakawaida za sheet waweke na rock za ndani weka na vitasa viwil juu na chin. Utakuja kunishkuru badae
2026-09-03 07:41:50
39
Mpakistan🇵🇰 :
saf sana ....mwambie sista na mm naokota makopo huku k/koo mwenetu
2026-09-02 18:33:56
51
,,vick,,,, :
Amina mungu tenda na kwangu
2026-09-03 08:01:21
9
meshack :
Sisi wengine tuko mbali so saport yangu kwenu ni maombi pia mungu amjalie yusufu apambane asibweteke maana mtaani life lauku nigumu sana yaan so kwakua yeye mungu alimbariki nakumkutanisha namtu sahihi apambane sana pia Usimuache
2026-09-03 05:34:24
26
Naomi Juma :
ameni mung akuongezee dada
2026-09-02 17:55:57
10
Aggie_designer👗 :
MUNGU abariki biashara yako akuinulie watu
2026-09-03 08:16:44
6
Triple s :
Wakati wa mungu ni sahihi
2026-09-02 19:07:27
7
💫Cute Momo🍂🍂 :
mungu akubariki sana kipenzi chetu mwambiye Yusuf atatoboa akazane2 nabiashara yake 🧎🙏🙏🙏🤲🤲🤲🫂nakupenda chasama 🥰🥰🌹
2026-09-03 09:03:36
6
joyness_trends :
Congrats
2026-09-03 08:16:17
3
BARAKA REVOLA HARDWARE :
Natamani na mm nifungue duka kwa namna hii nikate utepe 😭😭😭wengi tulitimuliwa tulipo kuwa tumeajiliwa
2026-09-03 09:04:37
7
mkude tz 01 :
🥰🥰
2026-09-03 07:42:46
2
JOSHUA'S THE GREAT 📸💻🎶🎶 :
👍👍
2026-09-03 08:19:32
2
her :
Hongera sana🎉👏👏
2026-09-03 07:04:07
2
IT'S DACHI 26 :
daaah utafanikiwa bloo
2026-09-03 08:31:53
1
nicky :
Amina
2026-09-03 08:58:38
1
user997554910638 :
MUNGU akukumbuke
2026-09-03 07:04:22
4
Faith Shoo :
Hongera Yusuphuuu
2026-09-03 06:33:49
2
To see more videos from user @chasamabranding7, please go to the Tikwm
homepage.