Alafu kuna mm kichwa box nilikimbilia Kwa wazazi wakanirudisha nikakimbilia omani🙈🤣🤣
2026-09-03 04:44:40
8
swalehe juma :
uyu ni shemeji ukweli
2026-09-02 19:38:46
14
Saimoni Mathew :
daah shemeji katishaaa achaa .
2026-09-02 19:59:42
12
Johniii :
Manga kunywa soda baridii bill kwangu 😁😁
2026-09-03 01:35:15
12
Itz Kobbie Boateng :
santa sna
2026-09-03 05:51:29
1
John Fabrice :
respect bro
2026-09-03 04:59:13
3
old :
very good condition 👍👍👍
2026-09-03 06:55:51
1
waryoba musizaki :
baba mkwe mama mkwe mashemeji wa kiume hakuna kama nanga watu hote wagerikuwa kama nanga ndoa zisinge vujika
2026-09-03 04:23:09
7
wasike Snr :
respect to bro 💯
2026-09-03 05:13:04
1
Ⓐ︎Ⓛ︎Ⓘ︎💯🤑 :
sioni comments za wana dada😂😂
2026-09-03 04:31:09
3
BAHATI LUGENJI :
Shemeji nanga👊
2026-09-02 19:31:03
0
MESHACK :
shemeji ndooo huyo sas🙏🙏🙏
2026-09-02 19:16:10
7
THE KING nails kitwe ✅ :
Bro nanga😁😂😂🔥🔥🔥🔥🙌
2026-09-03 04:54:37
1
wakusikilizia j&j :
kaka sikufichi wanangu wasingelelewa na baba mkwe ila mungu amtupi mjawake jawabu Nisha pata sema ameeeni Wana wake bwana shemeji unatisha😂😂😂😂 gusabasi kama umemkubali shemeji
2026-09-03 03:03:58
8
shebbydizo :
nanga unaakili sanaa hizi ndo content tunazotaka
2026-09-02 20:06:33
6
Etoile +++ :
ukweli mtupu bro umetisha
2026-09-02 18:56:56
45
New sound recod Family :
licha ya comedy nanga kaongea ukweli mtupu kabisa iyo ni fundisho na iyo ndio njia Yao ya kujitetea nimeteseka na mimba Kama vile alitaka tubebe wote
2026-09-02 19:52:12
6
NovaKhan :
Safi kabisa, Nanga yupo vizuri
2026-09-03 07:34:14
2
Monica Njole :
😂😂😂😂😂 kheeee😳
2026-09-03 04:14:55
2
Issa luhende:jr :
hii nimeipenda💞💞💞💞
2026-09-03 06:43:04
2
Ahmed Abdhi :
lkni sio bora kumdhalilisha dadako hadharani ivo...kama shemeji ndo kakosea inabidi awekwe wazi kuwa kakosea ndo yakisuluhishwa yasijirudie...ili hivi nanga kafanya makosa kimtazamo wangu jamaa atatesa dada akijua ako na back up ya kakake
2026-09-03 07:50:34
1
mr 4dricki :
dar wangekuwaga ivyo
2026-09-03 07:56:12
1
To see more videos from user @miraji.buda, please go to the Tikwm
homepage.