subhanallah ALLAH atupe mwisho mwema waja wake Aaaamin Allahumma Aaaamin 🤲 jamani punguzeni jeuri unamwambia aingie yy wakati anatupa ukumbisho mwema ukumbusho humfaa muumini na hayo maneno hajayasema yy kwenye Quran yapo sasa weye unajibu jeuri hajakuekea weye wala hujaambiwa usikilize kama na mm mutanitukana sawa
2026-09-03 04:12:20
3
~zeddy :
Shukran jazillah shekh Kwa ukumbusho 🙏 Allah barik in shaa Allah, Allah atujalie kuwa wakuskia na kufwata in shaa Allah.
2026-09-03 07:22:01
0
Bakari Mohamed :
ingia wewe
2026-09-03 03:59:41
0
Fatma Ally :
😂😂😂
2026-09-03 06:43:04
0
zuu :
❤️❤️❤️
2026-09-03 06:57:26
0
To see more videos from user @aliravylf6b, please go to the Tikwm
homepage.