Tumeambiwa na mtume tufuate sunna zake na sunna za makhalif waongfu
2026-09-02 21:09:16
1
Al bausi :
2026-09-03 05:59:27
0
anu :
msitupeze. muda
2026-09-02 23:29:13
1
Abu~Rukaiyya :
Kwani ukiwa wataka kusoma maulidi ndio ujenge hoja na vipengele km maulidi kusoma watasoma wanaopenda wakubalia na alie na shaka na jambo, wambiwa asilifanye kwani mambo mengine isipokua maulidi tuuu yakuongelewaaa.
2026-09-03 05:41:14
0
@dr HASSAN :
soma sheikhe kwanza
2026-09-03 03:46:20
0
parah 25 :
je saidi na othuni alifanya maulidi
2026-09-03 06:02:56
0
Ismaily :
Allah Akujaalie shekhe wetu
2026-09-02 20:16:53
1
Ali Badru Suleman merali :
kweli kabisa
2026-09-03 03:26:20
0
alimakame138 :
Allah akulipe kwa kuwakumbusha wanaojiona wao tu wapo kamili
2026-09-03 04:21:11
0
parah 25 :
au alianIsha maulidi
2026-09-03 06:03:16
0
Ramadhan Sayyid kitemwe :
Hivo vyote unavyosema weye wamefanya makhalifa waongofu sasa tuambie weye maulidi kafanya swahaba gan ili tulichukue
2026-09-03 03:51:14
0
Mustafa Rajabu :
mtume aliswal taraweh ispokua hakuendelea na hiy unaloleta ni talbis kwa waislamu
2026-09-03 06:12:28
0
Shuka :
mnakusanya watu na kukata viuno
2026-09-03 04:07:25
0
parah 25 :
aya kinaswahaba youote alieanzisha maulidi
2026-09-03 06:02:20
0
Ali Seif Salami Al Riyami :
MAWAHABI WOTE BID'AA WALIKUA HAWAPO.MTUME,MASWAHABA,TAABI'INA HAKUKUA NA WAKATI WAO WOTE HAWA HAKUKUA NA MAWAHABI.
2026-09-03 02:56:59
0
Shuka :
kuna sunna mbaya sheikh au ujui maana ya sunna?
2026-09-03 04:10:18
0
ustadhhamad :
👏👏👏
2026-09-02 18:53:33
0
To see more videos from user @104784sajjady, please go to the Tikwm
homepage.