@abdullrahman.gand: #swahili TUWE na roho za huruma kwa watoto mayatima kwani hawajataka kua katika hali walio nayo.wanawake nyinyi ndio nguzo kubwa katika ulezi basi ekeni moyo wa huruma kwa wana wa wenzenu.Na sisi wazee na kina baba Tusimame kama viongozi kwa kueka usawakatika malezi ya watoto hasa Yatima, kwani kila mwanaume ata kua masuala ya kujiba siku ya barzakh juu ya uongozi wa familia yake...#TUWAPENDENI_MAYATIMA_NA_TUWALEE_KWA_WEMA_NA_SIO_MANYANYASO🥹🙏🙏 #sheikh_ibrahim_mkongomani #swahilitiktok #malezi
Allah tujalie sis tuliofiwa na wazaz wet amiin 🙏🏾🙌🏾🤲🏾~~alghaniyu
2026-09-02 19:29:14
3
HAMSO ONE :
amiin amiin amiin
2026-09-02 19:26:23
4
zay✅ :
nawaza siku nikifa wanangu wataish vp yarab😭😭
2026-09-02 19:44:13
2
prettyfetty36 :
Astighafirullah 😭😭
2026-09-02 18:51:14
5
Ali Mjamaica :
Amin
2026-09-02 19:33:15
2
mwanaid :
Assalamu alaikum kak km unayatima 1 naomba nimlee nakuomb tafadhl
2026-09-02 19:34:07
2
Mrs Ramaz :
kiukweli nimetoa machozi nimekumbuka mimi ambae nimefiliwa na baba niko na mama tu lakini nakaa kama sina hata huyo mama niko mimi pekeangu najifanyia mm kila kitu kiukweli inauma sana
2026-09-02 19:22:36
4
Zaitun Yanga :
2026-09-02 19:38:04
2
🦋Nazly0407🦋 :
subhanallah 😭Allah atufanye ni wenye kuwa na Imani ya kweli n huruma yke Allah😭😭😭
2026-09-02 21:29:32
1
NAAH :
allaahumma Ameen
2026-09-02 20:27:12
1
G forc halidi :
mashalah
2026-09-02 19:48:27
1
joel :
sorry💔💔
2026-09-02 22:23:38
0
Garden.of.life💐🌺🍀🌞🕌 :
Ameeen
2026-09-02 22:16:14
0
AB🤞 :
amini
2026-09-02 21:57:18
0
KI SIMATTl JR :
allah atujali mwisho mwemaaah
2026-09-02 21:46:13
0
suzy :
amin 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-02 21:50:02
0
iluu❤❤ :
yaarabi tuwapende mayatima na atujaalie mwisjo mwema
2026-09-03 00:33:13
0
user4225425475934 :
kwel kaka ina uma sana ukifiwa na wazazi
2026-09-02 19:45:26
1
STOPER :
👏
2026-09-02 21:51:49
0
QUEEN BBY🌹25 :
Wasema kweli ndio wanachukiwa Mungu akueka shekhe wetu umenena ukweli😭😭😭😭
2026-09-02 22:43:13
0
To see more videos from user @abdullrahman.gand, please go to the Tikwm
homepage.