@vipajivingi_creatives: 👑 NYUMBA YENYE HADHI HUANZA NA UJENZI WENYE MSINGI WA UBORA. Kabla ya kufikiria rangi na finishing, hakikisha una ramani sahihi, mafundi wenye ujuzi na vifaa bora. Hivi ndivyo vinavyoweka msingi wa nyumba imara na yenye maisha marefu. Baada ya hapo, tunakamilisha kwa finishing ya kisasa inayolingana na maono na thamani ya nyumba yako. VIPAJIVINGI CREATIVES tunatoa huduma za Architecture design (Ramani), Ujenzi na Finishing kwa umakini na viwango vya kitaalamu. 📞 0762 637 807 📍 Tabata Chama, Dar es Salaam 📥 Instagram | TikTok: @vipajivingi_creatives 🇹🇿 Tanzania nzima + nchi jirani. Ubora wa nyumba yako unaanza na ubora wa maamuzi yako. #vipajivingicreatives #vipajivingicompany #ujenzi #ujenziwanyumbaboratz #ujenziwakisasa