wewe sio kweri toka hapa mimi nina 25 na mumewngu ana. 43 na ninaenjy sana tena sana na ninamuomba mungu azidi kutuweka p1🥰🥰🥰🙏
2026-09-03 08:59:21
2
Ukhty hamida :
Niko 19 na mbaba wang 45 ila nampenda na sio njaa
2026-09-02 20:54:23
6
Ronia❤️🔥💊 :
sasaaa kwanii tunatakiwa kuzidiana miaka mingapi jamani mbona mimi kanizidii 9yrs na tunapenda na mimi nafurahi kwasabbu anakuwa kama baba yangu nikikosea ananirekebisha kwa busaraa kabisa punguzeni ushauriiii😏😏😏
2026-09-03 05:02:50
2
Gradness david Magendo :
mimi niko na 21 yeye yuko na 36 lakini nampenda mkaka wangu kila siku namuona kama mdogo wangu 🥰 wacha tu nisienjoy ninacho jua nampenda
2026-09-02 21:23:58
9
alvin deus :
salimia kwanza 😎
2026-09-02 19:21:26
4
mu😊 :
mimi niko na 19 afu yeye yupo na miaka 34🤣🤣🤣🤣 juuu nampenda sana uyuuu baba 😌😌 sijuwi ananisomea dua 😂
2026-09-02 20:29:48
3
Feyy♥️ :
Nina miaka22 ila mwenzangu ana miaka zaidi30... Ila naenjoy mahusiano yangu na natamani ck moja awe wangu pekeyang japo ni ngum kwasababu, Au basiiii
2026-09-03 06:30:59
1
blandina.agrey :
mi nampenda bhana tena nampenda sana au kaniroga🥰🥰🥰
2026-09-03 04:41:47
1
Amina Ali Siji :
kweli kabisa
2026-09-03 08:48:55
0
✨Unique and rare 💫🤏 :
Hapo umedanganya 😁
2026-09-03 09:23:52
0
cesy :
yani mm na hili kimwili wangu kuwa na mtu amenizidi miaka mitatu naonekana mshangazi labda awe amenizidi miaka 10
2026-09-03 05:30:31
0
slvia :
mm ninae na ninaenjoy kinoma yan
2026-09-03 09:04:42
0
💕💕 :
Kwa nn lkn 😂😂😂
2026-09-02 18:54:05
1
naima dera jumla na rejareja :
Nina miaka34 mume wangu miaka58 na Alhamdullah nainjoi na Sina njaaaa
2026-09-02 21:22:59
1
Sweet love :
katika vitu sitaki kuwa muongo, sijawahi kuwa interested na mwanaume mwenye amenizidi kuanzia 10 yrs, Bora niwe na age balance 🤣🤣🤣
2026-09-02 19:24:29
3
MBARAKA :
100%
2026-09-02 19:33:30
1
Mimi🥰😘 :
sitii neno
2026-09-02 19:40:21
0
Fadya Othman :
kwel bna
2026-09-03 07:39:09
0
05054443344 :
Wacha ayo mambo 😂
2026-09-03 07:48:24
0
Shakira 2004/14/2 :
he's saying the truth 💯💯💯 ukweli asilimia mia moja kweli 💯
2026-09-03 09:45:32
0
Maswaga🦋 :
mbna me nainjoy sana😂😂jamn au ndo njaa yenyew😂😂
2026-09-03 08:00:47
0
jumanasalma :
we khan me naenjoy ten nampenda balaa
2026-09-03 07:49:14
0
Diana Cruz :
mimi niko 22 na yeye yuko 52 jmn 😂😂😂 na naenjey vip
2026-09-03 08:09:09
0
tanaimauki0 :
hiyo ni kweli broo
2026-09-02 20:00:35
0
To see more videos from user @khaanmahaba, please go to the Tikwm
homepage.