@kibopa.official2: life 🏍️🙏god#CapCut #trending #fyp

kibopa boda mwenye hela
kibopa boda mwenye hela
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 18:57:22 GMT
236898
20206
568
869

Music

Download

Comments

vicentmafie
VICENT MAFIE :
wanawake wakiwa kama huy maisha ni marahisa sana mungu akubariki wewe na huyo mwanamke mfike mbali 🙏🙏🙏
2026-09-03 06:41:48
166
derrick.deright
Derrick Deright :
fyp@❤️tasha💕❤️,love you so much hunn❤️
2026-09-04 00:23:27
1
kijanake.landlord
kijana Wa Land lod :
God bless you
2026-09-04 18:35:43
0
goldenbichu25
Gôldèñbichú25 :
Kila hatua mtangulize MUNGU na juhudi
2026-09-02 21:01:48
39
hamrani.khamis
I am me :
ila maisha ya ticktok ni simple
2026-09-04 19:57:03
0
wabby_kibiki
Wabby_kibiki :
haya maisha yapo humu TikTok tu ukitoka nje huku hayapo kabisa
2026-09-03 15:20:03
41
chaliiyangarabikelife255
Chali Ya Ngara bike life 255 :
jaaah blesses
2026-09-03 08:00:12
0
benni.kanje
BENNI KANJEE'15 :
where is cameramen 😳😳
2026-09-03 07:32:33
1
sammythedj255
Deejay sammy🇹🇿🇹🇿 :
umetish man
2026-09-03 05:10:57
1
edwarddema107
Edward Dema :
mtaachana tu 😂😂
2026-09-03 18:59:03
9
yusuphnjikumobile
YUSUPH Njiku Mobile & Accessor :
aisee 😁😁 kama maisha yapo hivi na mm nioe sasa
2026-09-03 07:20:35
9
cairon.hilali12
Cairon Hilali12 :
DAAH EWE MUNGU MWANAMKE KAMA HUYU NDIO NDOTO ANGU NIJALIE NIMPATE WAKATI UKIFIKA 🙏🙏
2026-09-03 15:57:01
11
florajohn145
Flora john 🍎🍎🍎 :
mungu nipe kama huyu tu natulia🥺🥺🥺
2026-09-03 23:33:44
5
user5698417008007
dersy23 :
shoppers ya mikocheni au
2026-09-03 17:58:54
2
user.wajay.twah
user wajay Twah :
ww kaka humemtoa wapi uyo dada,,,,@@@@@@@
2026-09-04 21:21:28
0
fazasaidi138
fazah :
oya mamen mbona sisi wengine hao madem waivo hatuwapatag
2026-09-03 14:52:03
6
bintisayuni215
bintisayuni921 :
sijui nalia nn mimi huku ila mungu mtunze mme wangu kwenye kazi yake mfungulie milango ya Baraka kupitia video hiii🙏
2026-09-04 14:51:09
9
ivan.edgar39
ivan edgar :
mke wang nimemjengea na nyumba lakini haya nayaona tu kwa video
2026-09-03 17:38:47
4
innocentbahati295
Innocent Massawe :
Nimeona umeenda Machinga complex... unaishi wap, naweza pia kuwatembelea🤣
2026-09-03 07:07:14
6
putin1234557
Tonney :
mbn wanawake. kama hawa siwaoni😳
2026-09-03 16:50:09
1
paulo_duma
Paulo_Duma@ :
nakubar mdg wangu
2026-09-03 17:48:01
3
wilson.andika
us :
sio kenya
2026-09-03 17:12:55
2
robertmkatoliki
Robert wa kirene ⛪ :
nimependa Sana hyo duh had falaja kua namtu kama hyu kabisa 👍🫡🫡🎉🎉
2026-09-03 21:36:24
1
yohanasaimon816
yohanasaimon816 :
hakka brother
2026-09-02 19:32:47
3
stantz.37
Stantz 37 :
daah Yan nikipata mwanamke anae jari kazi yako anaekupa mood ya kutafuta pesa kiukwel nitajituma zaid na zaid
2026-09-03 07:10:32
1
To see more videos from user @kibopa.official2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About