@arrivaltv: Hivi kwa nini maprofesa wengi wanaonekana kama hawako sawa? 😂🤔#viral #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokusa🇺🇸 #trending #tiktoktanzania🇹🇿

ArrivalTv 🇺🇸
ArrivalTv 🇺🇸
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 02 September 2026 18:58:44 GMT
2472
128
21
3

Music

Download

Comments

user7866100437412
user7866100437412 :
Kuna professor(late) alikuwa mnywaji sana gari yake ni mbovu,ngeu nyingi.Tukawa baa ,yuko njwi! Tunamuuliza prof. how will you get home.He replied haa! haa ! don't worry my car knows home!
2026-09-06 07:36:08
1
aphishelupogo
The only Lupogos daughter :
mnafanya vizuri sana kusaidia watu wenye sifa keep it up bro
2026-09-09 03:00:50
0
dina.panga
Dina Panga :
Kweli hawajipendi hata mm najiuliza kama wewe
2026-09-04 02:43:53
1
rabiflower
Rabiflower :
yaani hata wewe ukifika huko waliko utakuwa kama wao😂😂😂utaona kama maisha na Kila kitu ni ubatili mtupu😂😂😂
2026-09-02 19:38:02
3
braymapiano
Bry Mapiano :
Sometimes hawachani nywele😀
2026-09-03 19:45:24
1
assbell2
Bell ♥️♥️ :
uko na gari supuu
2026-09-09 06:27:31
0
jastinenelsoni138
Jastine Nelsoni :
unazungumza ukweli acha ni fu follow kabisa ☺️
2026-09-03 16:45:31
2
coli75658
coli :
they treasure old things utapata make ya hio mabati ni ya kitambo mabati mazuri yenye haijikunji old is gold
2026-09-08 18:32:52
1
pastorypetro493
Pastory Petro :
habar kaka nafurahi sana unavyotutia moyo
2026-09-07 11:09:37
1
grebo477
grebo :
bible inasema tuwe na kiasi
2026-09-03 18:21:55
1
yorkies34
Yorkies collection :
Au unamsena mume wangu
2026-09-03 04:24:32
1
bongoads
bongoads :
Unavyozidi kuwa msomi unazidi kupata purpose ya wewe kuwepo duniani, unapata kiu ya kuipa kipaumbele purpose yako. Ndio maana unakuta pesa zao zinaishia kwenye miradi ambayo Gen Z hawezi elewa
2026-09-04 12:18:45
1
twaha_munisi
Twaha S Makere Maker :
wanakua tayari wamejua sababu ya kuishi na sisi wengi hua tunasahau hapa duniani ni temporary
2026-09-04 23:30:07
1
domainexpension20
domainexpension2.0 :
Izo gari zinaitwa zilipendwa 😂😂😂😂
2026-09-02 19:43:59
1
jua.kali61
More Fire :
wamelogwa
2026-09-02 21:53:44
1
neemaai3
Neemaai :
😂😂😂😂
2026-09-05 12:36:23
0
kcoq035
NURSE KcoQ 🩺💉💊 :
😅😅
2026-09-08 21:08:53
0
To see more videos from user @arrivaltv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About