@official_mrs_tino: Naombeni Mzee madevu arudishiwe mahali kidg maana sio kwa hizi kazi jmn 🥹🙌🏻 hapa nimeshindwa kulala mwili unauma mpka visigino 😢#ugandatiktok🇺🇬 #southafricatiktok🇿🇦 #tanzaniatiktok #fypdong #fy

Official_Mrs Tino
Official_Mrs Tino
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 19:20:21 GMT
95599
3767
265
131

Music

Download

Comments

marki.martha123
Queenmartha😍mwaipaja :
Hivi ikifika usiku nikikuambia nimechoka utanilaumu😅😅😅
2026-09-03 05:36:40
31
johnsonbullet4
johnson bullet :
braga samahani huyo mkeo au saidia fundi
2026-09-02 20:24:34
100
diamondtz0
BIG CHUI PLANK❤️🔥 :
SI WANA SEMAGA HAKI SAWA WAPELEKEE BABA😂😂🔥🔥🔥
2026-09-02 20:58:23
23
merryemily863
MRS G♥️ :
mie najijua ningelia
2026-09-03 05:22:36
5
tamy_dully
tamy_dully🤍🫀🧕🌸 :
mweeeeeeeeeeeh😁😁
2026-09-02 22:02:00
2
bark_339
bark :
kwann jmn mnamtesa mrembo wangu 🤣🤣
2026-09-03 06:21:50
7
mohammad.ibrahim5091
Mohammad Ibrahim :
Ana haki sasa ya kusema "tumejenga wote" 😂
2026-09-03 04:06:17
24
mbowesdaughter
Mbowe's Daughter :
saidia fundi ndo hii 😂 😂
2026-09-03 02:26:38
8
jose0697410774
Josee :
adilaha mungu awajalie mfike mbal❤️🍎😥
2026-09-02 22:01:04
7
babe_eyes
Babe_Eyes :
Babe wangu kazi unayo jamani polee 😂
2026-09-03 08:33:44
2
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Kama najiona mm na Mke wangu hapoo. na anavyopenda kunifata nikiwa nafanya kazi zangu nampa jukumu chap na uzuri hakataagi na akiumia akianza kudeka mm nacheka hlf namwambia hapo padogo hvyo ndo unaliia ebu tuendelee na kazi..mbona atatafta kisingizio aondoke mwenyew 😂😂😂, cha ajabu hakai Sana anarudi tena🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 07:49:04
6
deejahkijumbe
DEEJAH MAROST :
alafu kuna mwenzake uku alinipandisha juu ya bati nkafunge dishi ile siku siwez kusahau alafu anafoka kbs yan kama mm fundi mpk nmegoma kushuka juu ya bati anasema uwambie kuomba ela za mchezo mme wang NAOMBA kaz uwez nililia jaman🤣🤣
2026-09-02 19:57:25
26
johnalexmusic1
John Alex Music. :
duuuuh huyo mke nipe mimi kama humtaki😊
2026-09-03 07:23:41
1
abratysop
ABRATYSOAP :
shemeji tulikupa mke sio saidia fundi mrudishe dada angu🤣
2026-09-03 08:07:28
1
osward147
Osward 03 :
bro upo sahihi, Si wasema haki sawa et 50% kwa 50%
2026-09-03 05:04:45
9
razakiomary
razakiomary :
😁😁😁 nimecheka kwa nguvu
2026-09-03 07:41:17
1
mcswallomobile8
swallo mobile :
bro naomba namba ya mdogo wako😂
2026-09-03 06:44:50
0
zuuh.money
zuuh money :
Yan huyo yupo kama wang jmn
2026-09-02 19:44:41
6
issa.uki
Issa uki :
hii nimeipenda apo ndy ayajua kumbe wanaumbe kaz zetu ngum
2026-09-03 06:58:14
1
fredyronald5
fredyronald :
safi
2026-09-03 04:12:21
2
shedymgaya638
shedymgaya638 :
😅😅 kunamuda ni bora kwenda nao kazini tu
2026-09-03 06:47:03
1
ww2.tatiana
TATIANA outfit store🛍️👗👖👕 :
😂😂😂😂😂Ila mmenifurahish sn
2026-09-03 07:29:47
1
To see more videos from user @official_mrs_tino, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About