@tulialfreda: 😂😂 ila #fyp #cat #tanzaniatiktok #luna #eastafrican

Tulialfreda
Tulialfreda
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 20:20:08 GMT
31846
2291
121
129

Music

Download

Comments

elesia311
🧸 Siaa🤎 🧸 :
l miss my little cat nara aiii kafanana nae🥰🥰🥰
2026-09-03 23:10:16
0
tobamohamed64
maheer ♥️ :
😂😂😂😂 jamn kazul
2026-09-04 10:03:52
0
tinamwasekaga523
Tina Mwasekaga :
Kaambiwa lala analala 😂
2026-09-03 06:16:19
0
user172219656256hi
Hidaya :
Luna Wang alifariki nililia kama chizi saiv naogopa kufuga maana maumivu sijawai kusahau
2026-09-03 10:10:11
29
jenifajuma945
inakusilajuma :
ana akili jamani anaitika
2026-09-02 20:29:21
26
user615051035498
M® Dee :
duuh kwel mung wa ajab wanyam nao wanatambua lugha zet duuuh Taqbir
2026-09-04 03:49:18
14
dreamer_of_endless
SuleimanXPhantom‼️🖤☪️ :
😅😅Tanzania kila mtu atachanganyikiw kivyake
2026-09-03 08:17:41
10
justerr..345
Jusley801 :
natamn awe wangu jmn😂😂
2026-09-03 06:35:12
1
lulumtalika
lulumtalika :
jamni analala kweli luna love you🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 08:01:44
3
dorisisilayo1
Dory :
Anajina kama la nyau wangu lunaa🤣
2026-09-03 04:00:49
4
melaninqueen806
@Melanie🥰♥️ :
Nije kumsalimia Lunar jamn 🥰🥰
2026-09-03 06:25:57
1
queensdivar1
Rais 🦀wa watoto🦋 wa 2000 👊 :
Maisha hayaaa 😁😁😁
2026-09-02 21:19:36
3
dee.raj7
Dee Raj :
Huyo Hapo Luna mwenzake ni photogenic
2026-09-04 11:41:12
3
finegirl8754
finegirl🍃💚 :
Luna wangu aliniachaga mwenyew 🥺😥
2026-09-03 09:31:36
0
user7780687594118
samweli wapili :
nyau nyau nyanyanyanyau nyau😂
2026-09-04 02:40:17
2
lusekelonjella
Lusekelo Njella :
nice😀😀😀😀😀
2026-09-03 10:18:18
1
jescaamos195
Jesca Amos :
hata me nlkua nae anaitwa poby nlmpenda sana bt alikufa tena mbele yangu, stak tena kupenda manyau meme
2026-09-03 13:35:49
0
user35808474303007
Sapna❤️ :
jmn mi pia napenda paka sema Kuna mda nawaogopa ..Kuna mda hakung'ati huyo jmn she's cute 🥰
2026-09-03 04:54:46
4
user3619040185969
Ray macake :
Had nimetaman kufunga aisee paka hawez kukusalit sio binadam na kukuibia juu
2026-09-03 07:02:20
2
jackybless8
jackyBless :
Nimetaman kuwa luna mana cyo kudekezwa ivyooo😂😂
2026-09-03 13:31:05
0
user9255700019910
😹 mushlay 4👊 :
jamn kama cheu wang
2026-09-04 21:05:03
0
user2669973035850
user2669973035850 :
wakwangu ana kula kila kitu mpaka kichanga wangu namlinda
2026-09-04 20:38:31
0
user2070639807858
I'ts Essie🥰 :
ndo maana nawapenda paka eeh Mungu walinde akina nyau wote
2026-09-04 21:30:39
1
To see more videos from user @tulialfreda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About