wa ASANTEEE SOAP tukalale mana amekuwa mwema kwetu walah
2026-09-03 11:32:12
56
Anitha bin erick :
wale wa imperial mpo
2026-09-03 12:22:54
26
Diannaofficial💞🇹🇿 :
kwahiyo Mena sio nzuri
2026-09-03 05:42:35
34
Baba-Rachel🙏 :
umesaau MAGADI SOAP
2026-09-03 17:34:28
8
ritiana B :
Asante my favorite 😍
2026-09-03 08:06:36
11
Miss Zuuh :
😂magadi na jamaa zimenipenda vepeee😂🙌
2026-09-03 07:05:37
10
Mamy G💓🙏🏻 :
Asanteeeee ya papaya karibuni😂😂😂
2026-09-03 13:38:45
22
Levina hezbon elly :
Wale asantee like hapa
2026-09-03 11:27:01
5
Mom Nillan :
mkifika kwenye Ayu mnishtue🤣🤣🤣
2026-09-03 11:33:07
11
لطيف 🦋🦋 :
family ishanitosh guys 🙌😂😂
2026-09-03 15:38:33
1
HOUSE OF EVE :
mbona white wash hujataja wee kaka😳😂
2026-09-03 16:40:20
7
farajalaiton :
na mena je?
2026-09-03 17:03:49
1
VELLISA CUTE :
Mena papaya origion
2026-09-03 13:34:41
1
Ashira Interiors💫 :
acha tu tuendelee kujipaka maji😅
2026-09-03 06:30:01
7
M@D@M R○$€M@R¥ :
Tunaotumia B 29 Tujuane🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 09:42:48
5
Mrs someone :
hiyo ahsante nakumbuka zilivyotoka nilinunuaga nadhani ilikua og asee nilipendeza yani ilinipa rangi nzuri Ila baada ya hapo nadhani sinawahi pata og tena
2026-09-03 08:59:29
6
Jacky :
Naitumia hiyo Goddes glow ni nzuri Ina povu ila usiwaogopeshe bhana kaka haingarishi saaaana au ni kwa sababu Mimi ni mweupe sijuiiiii✌️✌️✌️
2026-09-03 03:54:00
6
Samwel's daughter 🌹 :
Hivi mi Nimewai kuoga kweli
Kwa hizi jamaa😢😢😢😢
2026-09-03 03:54:41
7
saumu :
goddes shingapi
2026-09-03 05:29:47
5
亗𝙁𝙊𝙍𝙏𝙔.𝙀𝙈𝙋𝙄𝙍𝙀亗 :
tunaeogea ya unga😂😂😂
2026-09-03 14:15:23
2
To see more videos from user @user727811761757, please go to the Tikwm
homepage.