@millardayo_: Klabu ya Yanga imemtumia Mwandishi nguli wa Habari za Michezo duniani, hususan masuala ya usajili, Fabrizio Romano raia wa Italia, kutambulisha jezi zake za Kimataifa zitakazotumika katika michuano ya CAF Champions League msimu wa 2026/2027. Romano, ambaye amejizolea umaarufu mkubwa duniani kupitia habari za usajili wa Wachezaji na kauli yake maarufu ya "Here We Go", ametumika katika utambulisho huo ikiwa ni sehemu ya Yanga kuongeza ukubwa wa chapa yake Kimataifa. Yanga inaiwakilisha Tanzania katika CAF Champions League msimu huu ikiwa na dhamira ya kufanya vizuri zaidi katika michuano hiyo ya Afrika. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 20:29:35 GMT
38145
3365
90
116

Music

Download

Comments

naserkizuki
naserkizuki :
mimi simba 🦁 ila hio ya kijani tunaweza itumia kwa taifa stars 🇹🇿
2026-09-02 21:10:34
55
maxd606
Max :
nlijua AI😂😂
2026-09-02 20:50:47
0
aloycejoseph22
Aloyce Joseph Aloyce :
kuna wakati kama vita huiwezi unaungana nao😂😂 YANGA BINGWA
2026-09-02 21:47:19
46
stratorn
VICTOR :
Kama wewe ni YANGA gonga like apa 🔥✅
2026-09-03 04:37:14
6
occupationalthetapist
isiakah de perfumes :
huki kwetu tuko na wew milard ayoo u are the best unclee🔥🔥🔥🔥
2026-09-02 20:59:27
1
baba.nino37
Baba nino :
hakuna iyo post kwenye acaunt ya Fabrizio romano😂😂
2026-09-03 03:19:13
5
phatreyzjrhumphreyzjr
Phatreyz Humphreyz :
Green is national kit 💪💪💪💪💪💪
2026-09-03 05:33:46
0
m2ndas.son
m2nda's son :
Kwan ni nani haswa huyo samahan lakn broh
2026-09-02 20:47:26
7
_jacobs17
Jacobs17 💫 :
Naitwa Magembe ni muuzaji maarufu wa mahadiwea😁 here we Build 😆
2026-09-02 21:47:32
9
user4778660981602g
user4778660981602Gift mushi :
the best ONE
2026-09-02 20:47:15
1
hassanhussein6511
Hassan Yanga Tz 🇹🇿🇹🇿.. :
Yanga bingwa tena 2026/2027
2026-09-02 20:32:12
10
xnpr11
Xn!p£r 🔫 G@l 🔫 :
here we gooooooo
2026-09-03 04:28:01
2
yuscomiles07
Yuscomiles :
HERE WE GOOO 🔥🔥🔥🔥
2026-09-02 21:17:27
1
dalucie017
Lucie🖤💖😘💫 :
simba wako wap 🤔 waje waseme yanga bingwa 😁
2026-09-03 03:56:36
2
challahjslyn
challah🤟🏻 :
Hy y tatu mbona km jezi y taifa star jmn 😂😂
2026-09-02 20:58:30
5
willsonolotu
uncle willz :
yanga bigwa 💚💚
2026-09-02 21:53:49
4
sidde_mnyamwezi_og
SIDDE MNYAMWEZI OG1 :
hatali
2026-09-02 22:09:37
1
rajomsweet
rajomsweet :
Watu weweeeeeee
2026-09-02 22:30:35
1
its.the_great_vany
👔✨the🎯golden🏀vany💫☠️ :
yanga💚💛💛
2026-09-03 00:12:39
1
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Yanga bingwa
2026-09-03 03:57:35
2
mrsawa06
Mr Sawa :
hii itawauma sana😂😂😂
2026-09-02 21:42:24
1
bilalkaluta7
bilal kaluta :
yaaah ngaaaaah aaaaaaah
2026-09-02 22:20:57
1
user8363308461455
user8363308461455 :
kaka nakukubali sana
2026-09-02 20:32:19
2
cliffshae12
Cliffshae :
hahaha watajamba sana🤣
2026-09-02 21:25:04
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About