@gwajimatalks: **TALAKA YOYOTE HAIWEZI KUWA SABABU YA MWANAMKE.** Ulimchagua mwenyewe, ukamuoa mwenyewe. Leo akushinde, jiulize kama umetumia akili kumuelewa na kuishi naye. Biblia inasema: **“Kaeni na wake zenu kwa akili.” — 1 Petro 3:7** Ndoa haihitaji nguvu tu; inahitaji **upendo, hekima, uvumilivu na akili.** Usikimbilie talaka kila unapokutana na changamoto. **Jenga ndoa uliyoichagua.**

Gwajima Talks
Gwajima Talks
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 20:38:41 GMT
113872
5739
222
851

Music

Download

Comments

phas158
phales chisele :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] daaah haya mambo yandoa bwan
2026-09-18 11:47:32
0
mbonye23
mbonye23 :
nyie mnamuelewa hyu
2026-09-03 07:53:23
31
user3615573176567
user3615573176567 :
ila kuishi na mtu ambaye akupendi inaumiza sana 💔
2026-09-03 08:25:58
54
nazmahsuleyman41
Nazmah Suleyman :
Nilichogundua wanaume wengi wao wa nahisi no malaika na ndio maana yeye akicheat anaona ni kosa la mwanamke limefanyika ili acheat,ila wao wenyewe wanasema hakuna mwanaume anaetosheka na mwanamke mmoja🤨.Sasa je ukicheat mwanamke akiondoka tatizo linakua ni la nani??japo kila ndoa Ina matatizo take either ni me au ke hakuna alieumbwa kuvumilia mateso ndani ya ndoa.Ila ndoa Njema inaanza na mwanaume na sio mwanamke.
2026-09-03 09:39:29
28
ladyanii4
@Lady_Anitha :
ewaaaaaa baaaaaasi tumefunga kikao
2026-09-03 06:15:51
36
hassan.manjoti
Hassan Manjoti :
Nakupinga 100%
2026-09-03 07:28:02
11
mama.sam03
MAMA SAM❤️🥰 :
WACHACHE NDIO WATAKUELEWA BABA
2026-09-03 07:09:21
36
halimambwana958
halimambwana958 :
ukweli mchngu
2026-09-03 03:27:06
8
dativajoachimwai
Ususuani :
nikweli. mwanamume akiamua ndoa haiwezi kuvunjika. kumwambia mke nakupenda,niwewe tu, nunua biscuit ya 200 alafu kuwa mwaminifu simple!! hatakama huna pesa atakutunza
2026-09-04 12:35:23
18
liztibs2917
Bleden♍ :
basiiiiiiiii, kikao kimefungwa hadi 2030
2026-09-03 07:44:32
20
oldschooldude101
Oldschool DUD£🇹🇿🎤🎧🎻 :
VIDEO YAKO BADO TUNAYO..
2026-09-03 09:23:38
6
lubycom
Father & Son :
Nakiondoka tufanyeje
2026-09-03 08:56:35
1
judithkikoti
jde :
Kuna mtu atabisha hapa ,
2026-09-04 01:55:20
2
nelly.iteka
Nelly iteka :
Asante baba mchunganji
2026-09-14 20:47:06
1
king.msukuma.dala
king msukuma dalali magomen :
mtumish wa MUNGU je kama hikitoka ije ya doa baba ebu nambie
2026-09-08 08:17:21
0
officialamina125
@officialamina :
Jana nimeachwa Live kabisa
2026-09-06 12:09:42
0
user5043727962183
user5043727962183 :
ninashida na namba ya Gwajima kama naweza saidika tafadhali
2026-09-05 05:51:06
1
ashuasinatie0
5(11)2025💔💔🕊️🕊️😭😭 :
Asante baba
2026-09-03 10:02:50
7
charlesnm677
Charles Nancy :
😄😄😄😄😄 kweli kabisa
2026-09-03 10:06:35
2
ddanny.boy.56
D/Danny boy 56 :
samson vip adam vip niongeze
2026-09-03 04:49:55
1
user3613733931812
matokeo :
neno linasema mwanake atavunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe,MIthali 14 : 1 mchungaji kumvunjika kuna mambo meng yanachangia hapo bado mtumishi hujaeleka kwa hoja hio.
2026-09-03 08:09:26
0
rehobothi__
rehobothi__ :
Sisi kwa Mungu ni kama Mke, naye ametumia mfano huo kwa Taifa la Israel, aliliacha na kulirudia kwa ajili ya Jina lake ! Mungu alitupa Talaka kwa kumkosea! Hili unalifahamu? Sisi ni kama Bibi Harusi kwa Mungu …..
2026-09-03 05:13:35
3
sarahchalula
Sarah Chalula :
ukweli kbs🤣🤣
2026-09-03 07:26:46
4
nathan.mbendu
GIANT AWASI :
kwahiyo gwajima unapingana na bibilia
2026-09-03 18:45:38
0
habiba.kiponda
habiba kiponda :
Sasa kama mke mwenye hasikii
2026-09-03 07:32:06
0
To see more videos from user @gwajimatalks, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About