hapo kuna utafauti yanga wame mtumia fablizo kwa kibiashara wale wao walifanya kwa kutafuta sifa bro
2026-09-02 21:34:33
2
Twelo kidali :
mi mwenyewe Fabrizo ndio namjua leo ila lio namjua kitambo sana
2026-09-02 21:07:52
2
Dj h Love jr2 oge :
wanangu komenti tujuane
2026-09-02 22:16:09
1
jayloh :
kama alipost ijia hela
2026-09-02 21:48:26
1
Jay :
sasa tfanyeje kaka
2026-09-02 21:25:48
1
mwendesha :
njoo na mbinu nyingine
2026-09-02 21:38:07
1
saviola kizito :
anko T
2026-09-02 21:55:22
0
shabani Dikalula :
upo sahihi
2026-09-03 01:13:28
0
Nurath Omary :
wanapambana lakini simba sio wa wakushindanishwa simba inasifiwa kulingana ubora wake Kuna wanaotafuta kick ila bado kuifikia simba simba haimpapangi mtu
2026-09-02 21:11:41
0
Aurora peter :
ila Goli likikuwA offside
2026-09-02 22:56:58
0
Official wakshua :
manaake nini
2026-09-02 21:44:39
0
de fighter💪💪 :
sas Huy Ferdinand alikuw na hakuwah kupost chochote kuhc tz sas huko nje nan kaliongeleah. wakt Fabrizio kapost KW page yake
2026-09-02 22:23:37
0
....•UnderDog_🐺🔥👤 :
ila jaribu balance ya tim zote fanya at 60 kwa 40
2026-09-02 22:59:42
0
BLACKN'BLACK :
2026-09-02 21:33:39
0
comfort One :
unatumia nguvu 😆😆
2026-09-02 21:07:26
1
🦅 jay voice 🦅 :
kawn huyo fab ni mchezaj wawp naomba klz
2026-09-02 21:59:57
0
NOVER :
vua jezi hiyo hueleweki ni timu gani unashabikia
2026-09-02 21:36:10
0
h@nxuly🪄 :
macho husem ukwel 😅😅
2026-09-02 21:53:32
0
MR H 👑 :
tofautisha kati ya sifa na biashara
2026-09-02 22:58:41
0
chapstick 💞 :
ata ya semaji la simba kuingia na Simba kweny simba day nayo haina comeback 😂 ko yanga bado sana yani
2026-09-02 21:26:13
0
Kaisi Kaisi :
mchomeeeee ana zawumuuuuuuu
2026-09-02 21:12:28
1
Kaisi Kaisi :
zakufosiiiii
2026-09-02 21:11:53
1
fadhili :
sema we jamaa jau sana nsaidie nanna ya kukublock
2026-09-02 23:58:25
0
E :
kaliwe
2026-09-02 23:32:58
0
𝚋𝚎𝚗𝚒𝚎 ✌︎㋡ :
YANGA BINGWA
2026-09-03 00:04:00
0
To see more videos from user @master.codie, please go to the Tikwm
homepage.