Sister samahani kama nitakukwaza hivi kweli chips ni chakula kizuri
Mbona vyakula vyote ni vizuri tu kwa sisi ambao hatujakulia maisha ya kishua nadhan mnanielewa😥😥😥😥
2026-09-03 20:49:03
9
badibi :
jamani wanaume mafanikio yetuyanatoka mbali sana tujitume kupambana
2026-09-06 19:14:02
3
allysondo186 :
Kwani Chips ndo chakula kizuri ?
2026-09-03 13:41:07
11
QUTY NORAH :
namba plz
2026-09-03 07:10:14
5
Imma masai :
Chips ni chakula kizuri au ni viazi 2
2026-09-03 20:38:22
1
Engineer Sharifu 25 :
Siyo kweli hao wana ingiza ela nyingi tu zaidi ya hata baadhi ya walio ajiliwa
2026-09-03 07:46:57
8
Nassibu HAMISI KUFA :
Ety chakula kitamu Chipsi daaa
2026-09-04 16:40:27
2
Mamy nillan🫶 :
dah jamn mungu awape nguv wanaume wt wapambnaji
2026-09-08 00:04:21
2
Abely Mwatangala :
kkaa mung atakubaliki pambana kwanza ndipo mke afuate
2026-09-05 14:36:15
6
1982 :
Imeniumiza san eeh mungu tupe moyo wa kuthamin tulivyonavyo.🥹🥹🥹
2026-09-05 13:14:51
3
Sabaib Sabai7b :
bro tumuachie Mungu dhamana ya,maisha yetu
2026-09-06 19:23:19
2
Christian🇹🇿🇹🇿 :
baba kama huyu akifanikiwa atakua na upendo sana kwa familia yake🙏🙏
2026-09-04 10:00:27
2
🅱 BARCELONA 🆚 PAULO :
daaah najukuta natowa machoztu rakn naamin mungu yupo pamoja nae mungu ambarik ili apge hatuw nyingne
2026-09-10 14:14:33
1
Shedy~Msafii🔞 :
Chips ndo chakula kizuri jamani sema nmekupenda tu sister kwaajili ya wapambanaji
2026-09-04 12:01:37
3
Pablo escoba.TZ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-03 18:26:20
3
Junior mjubatz :
wana yanga mmemuona uyo😳
2026-09-03 11:03:57
3
The visionary Mariam :
nimejikuta naumia moyoni😥😥😭
2026-09-03 05:28:54
7
Badman Metro🥷 :
Huruma sio malezi kaishakwambia anapambana😎 get the point
2026-09-04 12:10:19
3
jeopardy :
mm ntakuwa mke wake jamn
2026-09-03 11:21:39
1
charles chazi :
mungu akuepeshe n mabaya akupe afya akulinde imani yko itakupa unacho hitaji tupo wengi kaka angu pambana juhudi zako utatopoa
2026-09-03 17:32:50
1
nyamasheki j manguya :
pole
2026-09-03 16:32:19
2
To see more videos from user @vestinamela, please go to the Tikwm
homepage.