hawezi kuwa na orengo the same time na sifuna ..a decide side moja
2026-09-03 03:17:00
5
vall de mmbone :
infact warudi odm
2026-09-03 04:28:12
3
flain :
Mwambiae bwana!
2026-09-03 05:36:04
0
blessings :
waende watafute pawa kwa oburu wao mara wako na ruto mara wanataka kuharibia sifuna Wana bow sana
2026-09-03 05:35:39
1
Mercyline Shisia @254 :
Wanaona venye tumenyamaza,, they think tuko wajinga😏😏😏😏😏
2026-09-02 22:11:24
4
Irenechebet :
sifuna siku zote 🥰🥰
2026-09-03 05:45:14
1
Natasha :
sifuna tosha
2026-09-02 23:06:34
3
Fadhil Creations :
tusisitusiane ... agenda ni Sifuna kwa debe...sisi ni waluhya na tunataka support ya luo mashemeji wetu
2026-09-03 06:46:10
0
mnyasiri030 :
opposition aki tusipotee tupendane aki tunahitajiana
2026-09-02 22:16:56
1
mama ramcy🫶 :
unajua venye wanatusiana wenyewe Kwa wenyewe Kwa opposition Na hivo ndio furaha ya 2term
2026-09-03 06:34:20
0
nellybrendah :
warudi odm
2026-09-03 07:19:25
0
Benard wangala :
😂😂😂 ukweli wanafikiria sasa Sisi ni wajinga sababu ya kusaport sifuna kwa nini Sisi wakati tulikuwa na raila tulikua na heshima, lakini kutill na watu wajatahiri wanasumbua tu