uchanganye na sparkling water balaaa
then ganish na mint na kipande cha limao balaaa
2026-09-03 18:21:43
1
Secy masawe :
so pow oyaaa
2026-09-03 12:19:42
1
Princess"hp🦋🦋 :
Sheria ni ile ile tunasoma comments then tuna view profile ASANTE 😊😊😊
2026-09-04 11:18:03
1
virgoQueen♍️ :
hii inanpotezaga kumbukumbu na kuchanganyikiwa juu
2026-09-03 09:20:19
70
Aiem minah❣️ :
Me stk kukumbuka nimefika zng club nkakutana na washkaj zang zp km zote kwa meza mm tn fakamia weeeh nkarudi vzr tu nyumban nimeanza kulewa asubuh sitosahau😂😂😂
2026-09-04 06:42:36
37
Angel😇❤️ :
nilikunywa ile ya chocolate nikaanza kuzunguka bar nzima kila nyimbo nacheza 😂mwanaume wangu akisema twende nakataa nikawa msumbufu alinipa kofi moja mpka nikaona giza nilikuja kushituka ni saa4 Asubuh nipo nyumbani sijui ndo nilizima😂😂😂
2026-09-03 20:19:23
28
Aneth Samu :
si mseme bei lakin 😁😁
2026-09-03 10:50:13
10
It’s Joycejoe :
Sina ham na hii nlikunywa nikaliaa Kama nmefiwa naulizwa sababu sinaa radha chocolate matendo ya jehanam 😂😂💔🙌
2026-09-03 08:28:08
112
Bint suma❤🦋🇹🇿 :
we kitu inakitwa magic ulitakaje 😂😂😂kama SI miujiza😂
2026-09-03 09:01:16
52
neyma :
hyo kweli ni magic yaan uanweza kuruka au kuzunguka kama spaida
2026-09-04 08:05:07
23
ummy :
mm nilikunywa ya chocolate nili pata ukicha nili ruka juu yagari mpaka chini nili zima siku tatu na kuja kuzinduka siku ya tatu😂😂😂
2026-09-03 16:39:42
24
Fidelis Matem :
nilikunywa masikio yakawa yanapata moto balaa
2026-09-03 17:01:16
13
MUUZA MATUNDA WAKISHUA ❤️🥑✨ :
Kuna hii na black and white sitamani kiziona bila kusahau absolute 🥹😩
2026-09-03 16:21:46
6
Joy Steven :
wenye tunaenda kujarbu weekend hii tujuane j tatu tutakuja na ushuhuda wakutosha😂😂
2026-09-04 06:14:45
16
dynahzacharia :
Sina hamu nayo nishalalaga kweny choo cha baa
2026-09-03 08:45:08
50
Kadj :
Weekend hii ntakunywa ili nije na ushuhuda 🤪🤪
2026-09-03 09:00:00
7
San :
Nilikunywaga hii kitu nikaanza kuona nyumba yangu mwenyewe imejengwa up side down nikaanza kuwapigia mafundi waje kubomoa wajenge upya
2026-09-03 13:45:20
12
To see more videos from user @dalalitonnydodoma, please go to the Tikwm
homepage.