@oneminutewithsheikhjamal: Kisa cha Fudhayl ibn ‘Iyād رحمه الله mtu aliyekuwa mnyang’anyi, lakini ayah moja ya Qur’an ikawa sababu ya kubadilika kwa maisha yake. #islamicreminder #oneminutewithsheikhjamaludin #trendingvideo #fyp #muslimtiktok
Ya Allah, tufanye miongoni mwa wale watakaoingia peponi🤲🏽🕌
2026-09-03 06:17:30
61
ummu fatma :
MashaAllah Allah atuongoze na sisi 😭😭😭
2026-09-03 03:42:44
17
Yussuph wizzo :
Allah akupe husunul hatima shekh wangu
2026-10-17 10:12:43
3
Canadiangwl :
ya Allah guide us to the right bath,,and grant us all Jannatul firdosa❤️😢
2026-09-04 07:58:18
13
amina jumale :
Ya Allah utupe husni khatima
2026-09-03 05:57:36
10
Alme Ayman ❤️ :
Allah atuongoze na sis tuwe na mwisho mwema🙏
2026-09-03 06:17:17
20
portreitz gos goos📸🇸🇴 :
Allah atufanyie mwisho mwema InshaAllah
2026-09-03 06:47:14
7
SwartDida :
Aamiin Aamiin Aamiin 🤲🏾🤲🏾🤲🏾
2026-09-05 21:31:11
4
celinamomade0 :
😭😭😭 allah akibar
2026-09-04 20:35:33
5
official -charm :
subhanallah alhamdulilah allahu Akbar
2026-09-04 14:55:58
5
👑king_____mahdino🖥 :
ALLAHUAKBAR😭😭😭😭😭
2026-09-03 05:55:47
10
sushi :
Aameen
2026-09-03 04:18:38
10
Khadija :
maashallah tabarakallah
2026-09-05 07:52:57
2
Seyraa💕 :
Alhamdulillah🙏Tuendelee kumuomba Allah msamaha natujilekebisha kama ana vyosema mkamilifu ni Allah,hatakama sisi hatuja kamilika basitusipundukie mipaka tunapokosea tuwahi kuomba msamaha hakika Allah nimwingi wa kusamehe🥺
2026-09-04 19:26:29
4
shyaka.alaba13 :
Astagfirullah
2026-09-04 18:44:47
4
humble 204 :
Allah atusamehee madhambi zetu na atujaalie tuwe katika watu ambao Allah amewaridhia insha'Allah
🤲🤲🤲
2026-10-07 08:43:15
3
Amina daudi :
mashaallah tabaarakallah
2026-09-04 12:07:55
2
B.B :
Allahu Akbar
2026-09-05 20:21:52
2
🌸🌺🫧 :
tumrudiy allha
2026-10-12 17:32:52
3
Sarah Saleh :
Allah atuongoze kwa sote tuwe na mwisho mwema,Amiin 🤲🤲
2026-09-04 05:38:59
3
Badina Ibrahim :
Allah Akbar
2026-09-08 13:48:19
1
Tusiesto Da Bwoy :
almighty Allah will change you and be it good or bad deeds it's always almighty Allah
the worst man has now became the imam
ma Sha Allah
the ending is always what matters
2026-09-08 18:21:31
2
ummiiddi :
Amin thuma Amin
2026-09-05 07:00:21
2
✨✨Al-Adan Enterprise✨🕌🕋📿 :
ya Allah 🙏🏼
2026-09-03 23:15:14
2
yahya :
kitu chenye napenda kwa masheikh wetu hawana story za bwana mmoja ama kulikuwa na mtu mmoja huyo mcha Mungu sana.....masalafi hawana hayo wasomewa hadithi kitabu kinachopatikana iyo hadith na kama ni qiswa basi uyo mtu utatajiwa jina lake yani ushahidi mwingi na dini yataka hivi tusomeni jamani
2026-09-06 04:57:19
2
To see more videos from user @oneminutewithsheikhjamal, please go to the Tikwm
homepage.