@jaycomedynatz: Usifurahie ukimya Wa mtu uliyemumiza #trending #vairal #fyp #vairal #foryoupage

JaycomedyNaTz🥺
JaycomedyNaTz🥺
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 03 September 2026 03:56:53 GMT
1656609
156002
1482
27891

Music

Download

Comments

damkubwa26
da mkubwa🥰🥰 :
karma 😭
2026-09-03 06:22:53
175
diana.shafick
Diana Shafick :
me spend mbna video inagoma kusevu
2026-09-04 13:23:45
10
zuu.z13
zuu z💕 :
🥹 Kama kuna mtu alimwaga machozi kwa ajili yangu mungu anisamehe 🙏😪
2026-09-03 10:13:25
446
mrmess1603k
Mr mess😤 :
mdada ulie single mambo
2026-09-04 16:05:39
68
jacklous9
jacqlous🍎 :
sijasamh ata kidogo na atalipia
2026-09-03 21:18:10
31
catemelody4
catemellow :
MTU amenipa mimba akaruka,naomba Mungu amnyoroshe yake yote,
2026-09-07 19:55:50
11
rehemaedison4
Rey alone :
mm mtu aliniumz nkapitia magum na kwavl alikuw anajua nilikuw nasali san natoa zaka sadak akaniambia sas km unamtegemea mungu kwnn aliach kukusaidia kipnd nmekutelekeza yan ad naumia ila naamn MUNGU yupoo
2026-09-03 13:29:00
16
neemaamosi1320
Neema Amosi :
kabisa kila mtu atapanda aricho vuna maripo nihapa duniani🥰🥰🥰🥰
2026-09-03 04:55:31
85
user6203407639763
MUSHI :
ukweli saana kaka
2026-09-03 03:59:35
14
mss..shonaah
🌸Ms_shonaaah💞🦋❤️ :
mlioniumizaa sijawasahau nitalipa tu
2026-09-05 10:51:47
8
user924823406850
user924823406850 :
mbn sasa inakataa kusevu nataka niiweke status kila siku
2026-09-07 09:46:22
8
keuzaa257
Adomix :
sijui kwanini nimetokwa n machozi Ila Mungu anajuwa kilakitu
2026-09-06 13:59:11
10
jenjuma668
Jen Juma :
malipo ni hapa hapa duniani nimemuachia MUNGU
2026-09-04 17:00:26
6
mamo_069
meryem🥰⚘️🥀 :
haki me nimeamua tyu kubaki kimya🥹🥹
2026-09-03 20:28:10
5
cassimiribunde
cassimiri :
umegonga ndio kaka, kongole mwanakwetu
2026-09-03 19:21:35
5
glibethmgeni
Naah🥰 :
mungu nisamehe Kwa yeyote niliye mliza anisamehe piah
2026-09-15 22:42:48
8
bohammakandamkoje
Bohammakanda Mkojela :
eee allah naomba nisamehe mimi kama nishawahi kuwa chanzo cha machozi kwa mtu nami naomba uniondolee maumivu na nisahau wale waloniumiza niwe mwepesi wa kusamehe
2026-09-07 15:19:39
5
azizajumaahmady
Azra de rommy💕 :
hali ninayopitia kwa sasa 😟😭😭😭💔
2026-09-04 12:07:26
7
giraffe4088
@Giraffe🌟 :
Karma is real
2026-09-03 09:48:27
26
ashleyinc96_mashuka
ashleyinc96_mashuka :
Hii imeniliza snaaaa Acha Mungu afanye kazi yake🙌🏻
2026-09-03 05:30:56
37
janeth.kibwana5
Janeth :
Eeeh MUNGU naomba deni langu lilipwe na riba 😂😂😂
2026-09-06 20:08:28
5
lizymethod
lizymethod ✝️ :
hiii yangu wakati naopitia ,,Mungu wangu nakuachia wew kila ki2
2026-09-03 09:26:27
10
salmitah17
salmitah :
eeeh Mungu naomba ukumbuke maumivu niliyosababishiwa wewe ndio mtoa hukumu ya haki,,, naamini machozi yng hayataenda Bure,,, Amin
2026-09-03 05:21:47
23
mamalyne5
mamalyne :
💔💔 mungu unihesabie haki ailipie kwa maisha yke yote😭😭
2026-09-03 17:22:14
5
officially.kinjala
UMMY IRFAN💫💗 :
kwann umefunga tusichukuw jamn😳
2026-09-03 18:34:17
11
To see more videos from user @jaycomedynatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About