Mume wangu tukigombn usiku asubui hawez kwenda kazin bila kusuluhisha changamoto zetu🥺 lazima ahakikishe nyumbn kuna amani.. nampenda sana mume wangu Mungu ampe maisha marefu🥰🥰
2026-09-03 13:44:13
409
Mariam sufiani :
niweke status au nimtumie Moja Kwa moja
2026-09-03 19:45:14
161
aggy :
that day he started behaving better nilifungua roho nikamuombea na alianza kupata pesa hadi kazi ... I wish him to have more and more coz he makes my kids happy.
2026-09-07 09:57:40
1
Nyoks Kanyua :
that's very true... I support you 💯
2026-09-08 19:13:06
0
Cicilia Cheps Chemalan :
ukweli kabisa
2026-09-07 14:46:13
1
user72492976965232 :
straight to my status liwe liwalo😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-07 11:02:20
1
Amara ug :
That is why i pray for my ex baby daddy instead of praying for the one that i have
mm naye hiyo furaha sinanga kabisaaa sijui nilikosea wapi😭😭
2026-09-05 16:17:21
17
miss kung'u :
wangu hata hunipiga juya sidechick furaha sinanga kabisa
2026-09-06 16:07:54
6
V money🦋🦋🦋 :
Amina nampenda mume wangu Mungu ambariki kila siku🥰🥰🥰 apate kila hitaji la moyo wake 🙏❤️
2026-09-03 04:58:55
24
Mom 🥰 :
mungu anipe mme sahihi japo kuwa Nisha olewa
2026-09-05 17:41:07
10
iam_G🥰 :
me kila siku ananiambia tukikosana ndo anapata hela🥺....
2026-09-03 11:13:42
8
Neema Mongi :
nimelia kaka ninapitia magum mno
2026-09-03 06:17:36
5
Lucia Martine :
mm wangu anasemaga ww siyo mungu mpaka milango yangu ya fedha ifunguke na Wala ajali ila na zidigi tu kumuomba kwa mungu
2026-09-03 18:18:09
6
mamy b 👑 ✨️ 😍 :
mie mpaka kunasiku akafka kazn akapiga sm mke wang leo soko hamna sjauza naomba tusameheane tue naaman baada ya apo aliuza mpaka ela alopanga auze akaja malambili yake🥰🥰
2026-09-03 16:35:55
15
candy___ :
Hawajui hilo baba we furahisha mke wako tu🥺
2026-09-03 20:03:50
5
ukhty Rahmat :
naomba uwe rafiki wa mumewangu na sio hawa wanaomshawishi matendo mabaya siwapendi.
2026-09-03 12:11:58
6
Chriswise🎓🎓🌹🌹 :
ukweli kakangu👍👍
2026-09-07 04:28:08
2
makso oo1 :
yeah 👍👍👍👍👍👍👍👍👍
2026-09-07 04:32:40
1
Lil daughter :
kweli kabisa
2026-09-07 03:46:21
1
To see more videos from user @apostle_msechu, please go to the Tikwm
homepage.